title : MSANII DUMA KUFANYA UZINDUZI KITAIFA WA FILAMU MPYA.
kiungo : MSANII DUMA KUFANYA UZINDUZI KITAIFA WA FILAMU MPYA.
MSANII DUMA KUFANYA UZINDUZI KITAIFA WA FILAMU MPYA.
Msanii wa Filamu nchini Daudi Michael 'Duma'Msanii wa filamu nchini Daudi Michael 'Duma' akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa fialmu yake mpya ya Nipe changu.
Mwambawahabari.
Muigizaji wa Bongo Movie, Daudi Michael ‘Duma’ anatarajia kufanya kuzinduzi wa kitaifa wa Filamu mpya inayotambulika kwa jina la 'NIPE CHANGU'
Filamu hiyo inatarajia kuzinduliwa Agost I8 mwaka huu Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo wasanii wawili maarufu kutoka nchini Rwanda wanataraji kushiriki katika uzinduzi huo.
Katika uzinduzi huo watanzania wapata fursa ya kuangalia moja kwa moja kupitia Azam Tv.
Duma amesema kuwa lengo la uzinduzi wa filamu hiyo ni kuinua bongo movie ili endelee kufanya vizuri ndani na nje ya nchi.
Hivyo makala MSANII DUMA KUFANYA UZINDUZI KITAIFA WA FILAMU MPYA.
yaani makala yote MSANII DUMA KUFANYA UZINDUZI KITAIFA WA FILAMU MPYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSANII DUMA KUFANYA UZINDUZI KITAIFA WA FILAMU MPYA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/msanii-duma-kufanya-uzinduzi-kitaifa-wa.html
0 Response to "MSANII DUMA KUFANYA UZINDUZI KITAIFA WA FILAMU MPYA."
Post a Comment