Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Nchini Atembelea Vituo vya Afya

Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Nchini Atembelea Vituo vya Afya - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Nchini Atembelea Vituo vya Afya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Nchini Atembelea Vituo vya Afya
kiungo : Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Nchini Atembelea Vituo vya Afya

soma pia


Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Nchini Atembelea Vituo vya Afya

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Bi. Agnes Mtawa ametembelea Mkoa wa Shinyanga pamoja na Wilaya ya Kahama na vituo vya afya kwa nia ya kuangalia shughuli zinazofanywa na wauguzi na wakunga wa kada mbalimbali pia kuzungumza nao.

Msajili alikutana na baadhi ya wauguzi katika vituo vyao vya kazi na kuwasisitizia kuzingatia maadili wanapowahudumia wagonjwa. Pia, alifanya mkutano Mjini Kahama katika Hospitali ya wilaya na aliwakumbusha wauguzi na wakunga juu ya majukumu ya Baraza la Uuguzi na Ukunga pamoja na Misingi ya utoaji huduma ya Uuguzi na Ukunga yaani (Professional code of conduct, the guiding principles).

Katika hatua nyingine, aliwataka wauguzi na wakunga kuwa na leseni inayowaruhusu kutoa huduma, lakini pia alikemea vikali watu wanaoghushi vyeti na leseni za uuguzi na ukunga.Msajili alipata nafasi ya kujibu maswali mbalimbali ya kiutendaji pamoja na sheria inayoongoza taaluma ya uuguzi na ukunga.

Pia, alitembelea pia Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga na kuonana na wauguzi na wakunga katika maeneo yao ya kutolea huduma na kujibu maswali mbalimbali yanayohusu taaluma ya uuguzi na ukunga, sheria inayoongoza taalama ya uuguzi na ukunga nchini.
Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Bi. Agnes Mtawa akiwa ziarani mkoani Shinyanga kwa ajili ya kuzungumza na wauguzi pamoja na wakunga kuhusu utoaji wa huduma bora.
Wauguzi na wakunga wa Wilaya ya Kahama wakijiandaa kumsikiliza Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Bi. Agness Mtawa.



Hivyo makala Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Nchini Atembelea Vituo vya Afya

yaani makala yote Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Nchini Atembelea Vituo vya Afya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Nchini Atembelea Vituo vya Afya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/msajili-baraza-la-uuguzi-na-ukunga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Nchini Atembelea Vituo vya Afya"

Post a Comment