title : MKUTANO WA MAREJESHO WA MAAMUZI NA MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU WA 71 WA AFYA ULIMWENGUNI YAFANA ZANZIBAR
kiungo : MKUTANO WA MAREJESHO WA MAAMUZI NA MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU WA 71 WA AFYA ULIMWENGUNI YAFANA ZANZIBAR
MKUTANO WA MAREJESHO WA MAAMUZI NA MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU WA 71 WA AFYA ULIMWENGUNI YAFANA ZANZIBAR
Na Mwashungi Tahir
NAIBU Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman alisema matarajio ya kuwapatia wananchi huduma zilizo bora za afya popote walipo ndio dhamira kuu ya Wizara zote za afya za Tanzania Bara na Zanzibar.
Hayo aliyasema leo huko katika ukumbi wa Ngalawa Beach Resort wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mrejesho wa maamuzi na maazimio ya mkutano mkuu wa 71 wa Afya Ulimwenguni .
Alisema Huduma za afya zinahitajika kuwafikia wananchi hivyo ili kufikia jitihada hizi Serikali zetu mbili hizi zimepiga hatua kubwa kuhakikisha kila sehemu zinawafikia walengwa bila matatizo yeyote na kwa urahisi.
Aidha alisema baada ya Mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 nchi yetu imekuwa ikichukuwa kila jitihada ili kufikia malengo yaliyotarajiwa , hivyo nchi yetu imekuwa ni moja kati ya nchi chache Barani Afrika , zenye mtandao mzuri wa miundo mbinu ya Afya.
Amewahakikishia wananchi kuwa sasa huduma za Afya za msingi zinapatikana katika masafa yasiozidi kilomita nne hadi tano hili ni jambo jema na tunapaswa kujipongeza.
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Harus Said Suleiman akifungua Mkutano wa Marejesho wa Maamuzi na maazimio ya Mkutano Mkuu wa (71) wa Afya Ulimwenguni katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngalawa Mjini Zanzibar.
Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni Tanzania (WHO) Dkt. Adiele Onyeze akizungumza katika Mkutano wa Marejesho wa Maamuzi na Maazimio ya Mkutano Mkuu wa (71) wa Afya Ulimwenguni katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngalawa Mjini Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya Tanzania faustine Ndugulile, akionesha kipeperushi cha Mpango kazi kilichoandaliwa na Wizara ya Afya Tanzania katika Mkutano wa Marejesho wa Maamuzi na Maazimio ya Mkutano Mkuu wa (71) wa Afya Ulimwenguni katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngalawa Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Marejesho wa Maamuzi na Maazimio ya Mkutano Mkuu wa (71) wa Afya Ulimwenguni katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngalawa Mjini Zanzibar.
Hivyo makala MKUTANO WA MAREJESHO WA MAAMUZI NA MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU WA 71 WA AFYA ULIMWENGUNI YAFANA ZANZIBAR
yaani makala yote MKUTANO WA MAREJESHO WA MAAMUZI NA MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU WA 71 WA AFYA ULIMWENGUNI YAFANA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA MAREJESHO WA MAAMUZI NA MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU WA 71 WA AFYA ULIMWENGUNI YAFANA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mkutano-wa-marejesho-wa-maamuzi-na.html
0 Response to "MKUTANO WA MAREJESHO WA MAAMUZI NA MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU WA 71 WA AFYA ULIMWENGUNI YAFANA ZANZIBAR"
Post a Comment