title : MKURUGENZI WA ZAMANI NSSF AKABIDHI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
kiungo : MKURUGENZI WA ZAMANI NSSF AKABIDHI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
MKURUGENZI WA ZAMANI NSSF AKABIDHI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF ,Professa Godius Kahyarara (pichani kulia) akimkabidhi baadhi ya nyaraka kwa MKurugenzi mkuu mpya wa NSFF Ndugu William Erio kwenye makabidhiano ya ofisi leo makao makuu ya Shirika hilo.
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF ,Professa Godius Kahyarara akizungumza jambo na MKurugenzi mkuu mpya wa NSSF Ndugu William Erio mara baada ya makabidhiano ya ofisi leo makao makuu ya Shirika hilo.
Hivyo makala MKURUGENZI WA ZAMANI NSSF AKABIDHI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
yaani makala yote MKURUGENZI WA ZAMANI NSSF AKABIDHI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI WA ZAMANI NSSF AKABIDHI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mkurugenzi-wa-zamani-nssf-akabidhi.html
0 Response to "MKURUGENZI WA ZAMANI NSSF AKABIDHI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA"
Post a Comment