MKURUGENZI NEC AKAGUA UJENZI WA OFISI ZAO DODOMA

MKURUGENZI NEC AKAGUA UJENZI WA OFISI ZAO DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGENZI NEC AKAGUA UJENZI WA OFISI ZAO DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGENZI NEC AKAGUA UJENZI WA OFISI ZAO DODOMA
kiungo : MKURUGENZI NEC AKAGUA UJENZI WA OFISI ZAO DODOMA

soma pia


MKURUGENZI NEC AKAGUA UJENZI WA OFISI ZAO DODOMA

 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kushoto) akizungumza na baadhi ya Watendaji wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) na wataalam kutoka Chuo Kikuu Ardhi mara baada ya kutembelea eneo la mradi wa Ujenzi wa Ofisi za NEC, Njedengwa jijini Dodoma.
 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kulia) akizungumza jambo na Mhandisi wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka TBA alipofanya ziara ya kutembelea eneo la ujenzi wa ofisi hizo Njedengwa , jijini Dodoma.
 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (katikati) akikagua eneo linapojengwa ghala la kuhifadhia vifaa vya Uchaguzi akiwa ameambatana na baadhi ya Maafisa wa NEC na  wataalam  wanaojenga  mradi huo  kutoka TBA.
 Jengo la Utawala la Tume ya Taifa ya Uchaguzi likiwa katika hatua za ujenzi katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
 Mhandisi wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za NEC jijini Dodoma Mhandisi Yohana Mashauri (kulia) akimweleza jambo Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia aliyetembelea ujenzi wa Ofisi hizo.
 Baadhi ya watendaji na Wasimamizi wa Mradi wa ujenzi wa Ofisi za NEC jijini Dodoma wakimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Athumani Kihamia (hayupo pichani).

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MKURUGENZI NEC AKAGUA UJENZI WA OFISI ZAO DODOMA

yaani makala yote MKURUGENZI NEC AKAGUA UJENZI WA OFISI ZAO DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI NEC AKAGUA UJENZI WA OFISI ZAO DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mkurugenzi-nec-akagua-ujenzi-wa-ofisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKURUGENZI NEC AKAGUA UJENZI WA OFISI ZAO DODOMA"

Post a Comment