Mchezaji wa Stand United atimkia Klabu ya KMC Fc

Mchezaji wa Stand United atimkia Klabu ya KMC Fc - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mchezaji wa Stand United atimkia Klabu ya KMC Fc, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mchezaji wa Stand United atimkia Klabu ya KMC Fc
kiungo : Mchezaji wa Stand United atimkia Klabu ya KMC Fc

soma pia


Mchezaji wa Stand United atimkia Klabu ya KMC Fc

UONGOZI wa Klabu ya KMC Fc imefanikiwa kupata saini ya aliyekuwa mchezaji wa Stand United, Ally Ally na kuitumikia klabu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Ally Ally amejiunga na KMC FC ya Kinondoni, iliyopanda ligi kuu msimu wa 2018/19 baada ya kumalizana na waajiriwa wake wa zamani.

Beki huyo aliyekuwa mwiba mkali katika mechi za ligi kuu msimu uliopita akiitumikia Stand United amejiunga na KMC baada ya mambo kutoenda sawa katika klabu yake ya zamani kutokana na kutolipwa fedha za mshahara wake.

Ally ambaye ni beki huyo wa kati hivi karibuni aliibuka na kusema Stand kuwa anaidai mshahara wa miezi takribani mitatu na akaadhidi hataweza kuendelea kuichezea klabu hiyo.

KMC ambayo imepanda kushiriki Ligi Kuu Kuu Bara msimu ujao imezidi kukifanyia maboresho kikosi chake ambapo imenyaka saini za wachezaji wenye uzoefu katika ligi ikiwemo kipa Juma Kaseja aliyewahi kung'ara Simba.
 Meneja wa timu ya KMC Fc Walter Harrison(kushoto) akikabidhiana mkataba na beki wa kati Ally Ally baada ya kutia saini kandarasi ya mwaka mmoja kuitumikia klabu hiyo.
Beki wa kati Ally Ally akitia saini kandarasi ya kuitumikia klabu ya KMC Fc akishuhudiwa na Meneja wa timu hiyo Walter Harrison.


Hivyo makala Mchezaji wa Stand United atimkia Klabu ya KMC Fc

yaani makala yote Mchezaji wa Stand United atimkia Klabu ya KMC Fc Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mchezaji wa Stand United atimkia Klabu ya KMC Fc mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mchezaji-wa-stand-united-atimkia-klabu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mchezaji wa Stand United atimkia Klabu ya KMC Fc"

Post a Comment