title : MAZISHI YA MKE WA KIBONDE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR JIONI HII
kiungo : MAZISHI YA MKE WA KIBONDE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR JIONI HII
MAZISHI YA MKE WA KIBONDE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR JIONI HII
Jeneza lenye mwili wa Mke wa Mtangazaji maarufu nchini na Radio Clouds FM, Ephrahim Kibonde, marehemu Sarrah Kibonde, ukiwasili kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni hii tayari kwa mazishi.
Mtangazaji maarufu nchini na Radio Clouds FM, Ephrahim Kibonde akiwa na watoto wake wakati wa mazishi ya Mkewe, Sarrah Kibonde kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni hii tayari kwa mazishi.
Mchungaji akitoa neno katika mazishi hayo.
Sehemu ya Waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Mke wa Mtangazaji maarufu nchini na Radio Clouds FM, Ephrahim Kibonde, marehemu Sarrah Kibonde, kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni hii.
Hivyo makala MAZISHI YA MKE WA KIBONDE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR JIONI HII
yaani makala yote MAZISHI YA MKE WA KIBONDE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR JIONI HII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAZISHI YA MKE WA KIBONDE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR JIONI HII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mazishi-ya-mke-wa-kibonde-makaburi-ya.html
0 Response to "MAZISHI YA MKE WA KIBONDE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR JIONI HII"
Post a Comment