MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA NANYALA WILAYANI MBOZI

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA NANYALA WILAYANI MBOZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA NANYALA WILAYANI MBOZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA NANYALA WILAYANI MBOZI
kiungo : MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA NANYALA WILAYANI MBOZI

soma pia


MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA NANYALA WILAYANI MBOZI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amefungua kituo cha Afya cha Nanyala kilichopo kata ya Nanyala wilayani Mbozi kitakachotoa huduma kwa wakazi zaidi ya elfu kumi ikiwa siku ya pili ya ziara yake ya siku 5 katika mkoa wa Songwe. Pichani kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mh.Chiku Galawa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Muonekano wa jengo la  kituo cha Afya cha Nanyala kilichopo kata ya Nanyala wilayani Mbozi kitakachotoa huduma kwa wakazi zaidi ya elfu kumi
 Jiwe la Msingi lililowekwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Baadhi ya Wananchi wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  (hayupo pichani) alipokuwa akiwahutubia mapema leo mara baada ya kufungua kituo cha Afya cha Nanyala kilichopo kata ya Nanyala wilayani Mbozi kitakachotoa huduma kwa wakazi zaidi ya elfu kumi ikiwa siku ya pili ya ziara yake ya siku 5 katika mkoa wa Songwe. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi  mapema leo mara baada ya kufungua kituo cha Afya cha Nanyala kilichopo kata ya Nanyala wilayani Mbozi kitakachotoa huduma kwa wakazi zaidi ya elfu kumi ikiwa siku ya pili ya ziara yake ya siku 5 katika mkoa wa Songwe. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA NANYALA WILAYANI MBOZI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA NANYALA WILAYANI MBOZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA NANYALA WILAYANI MBOZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-rais-azindua-kituo-cha-afya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA NANYALA WILAYANI MBOZI"

Post a Comment