title : DKT MWIGULU NCHEMBA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA JIMBONI KWAKE,ACHANGIA BATI 200
kiungo : DKT MWIGULU NCHEMBA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA JIMBONI KWAKE,ACHANGIA BATI 200
DKT MWIGULU NCHEMBA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA JIMBONI KWAKE,ACHANGIA BATI 200
Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi mkoa wa Singida Dkt Mwigulu Nchemba akikagua ujenzi wa kituo cha Afya cha kata ya kinampanda kinachojengwa kwa nguvu za wananchi wakishirikiana na Mbunge pamoja na serikali kuu, kituo hicho ni cha kwanza tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.
Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi mkoa wa Singida Dkt Mwigulu Nchemba akikabidhi Bati 200 kwa wananchi kwa ajili ya kuezekea majengo ya kituo cha afya cha kinampanda .
Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi mkoa wa Singida Dkt Mwigulu Nchemba akiwahutubia Wananchi wa kata ya Kinampanda kutoa taarifa ya ulipofikia ujenzi wa kituo cha afya ambacho kilikua ni moja ya ahadi zake akiomba ridhaa ya kuongoza jimbo hilo.
Hivyo makala DKT MWIGULU NCHEMBA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA JIMBONI KWAKE,ACHANGIA BATI 200
yaani makala yote DKT MWIGULU NCHEMBA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA JIMBONI KWAKE,ACHANGIA BATI 200 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT MWIGULU NCHEMBA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA JIMBONI KWAKE,ACHANGIA BATI 200 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/dkt-mwigulu-nchemba-akagua-maendeleo-ya.html
0 Response to "DKT MWIGULU NCHEMBA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA JIMBONI KWAKE,ACHANGIA BATI 200"
Post a Comment