MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA TUNDUMA NA KUHUTUBIA WANANCHI

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA TUNDUMA NA KUHUTUBIA WANANCHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA TUNDUMA NA KUHUTUBIA WANANCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA TUNDUMA NA KUHUTUBIA WANANCHI
kiungo : MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA TUNDUMA NA KUHUTUBIA WANANCHI

soma pia


MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA TUNDUMA NA KUHUTUBIA WANANCHI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Utawala Bora ni moja ya ahadi waliyoitoa kwa wananchi wakati wa kampeni.
Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Tunduma ikiwa ni siku ya nne ya ziara yake katika mkoa wa Songwe.
 “Lazima tunapofanya kazi zetu sheria zifuatwe, unapoacha kufuata sheria kwa sababu ya Matakwa binafsi, kwa sababu ya kunufaika wewe binafsi hili ni Tatizo hapa hapana utawala bora” 
alisema Makamu wa Rais.
Makamu wa Rais alisema Utawala bora usisukumwe tu upande wa Serikali unapaswa kupimwa kwenye ngazi zote mpaka za chini zikiwemo ngazi za Udiwani.
Makamu wa Rais amesisitiza kuwa Utawala bora ni pamoja na maendeleo ya Serikali yanapatikana.
Makamu wa Rais amesema Serikali itajenga pamoja na kuboresha vituo vya Afya 9 katika mkoa wa Songwe ambapo wilaya ya Momba kutakuwa na vituo vitatu.
Mapema leo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua kituo cha Afya cha Tunduma kilichofanyiwa maboresho na kugharimu zaidi ya shilingi milioni 500 na ambacho kitahudumia wakazi zaidi ya elfu 80.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la  Kituo cha Afya cha Tunduma ikiwa siku ya tatu ya ziara yake ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Songwe.  
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi waTunduma  kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Tunduma ikiwa siku ya tatu ya ziara yake mkoani Songwe. 

 Sehemu ya Umati wa wakazi wa Tunduma waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wauguzi wa Kituo cha Afya cha Tunduma mara baada ya kukifungua  ikiwa siku ya tatu ya ziara yake ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Songwe. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mtoto Esther Luila mwenye umri wa miaka 7 mara baada ya kukifungua  kituo cha Afya Tunduma  ikiwa siku ya tatu ya ziara yake ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Songwe. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia viatu vya ngozi vilivyotengenezwa na Wajasiriamali wa Wilaya ya Momba muda mfupi kabla hajahurubia kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Tunduma ikiwa siku ya tatu ya ziara yake mkoani Songwe. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA TUNDUMA NA KUHUTUBIA WANANCHI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA TUNDUMA NA KUHUTUBIA WANANCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA TUNDUMA NA KUHUTUBIA WANANCHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-rais-aweka-jiwe-la-msingi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA TUNDUMA NA KUHUTUBIA WANANCHI"

Post a Comment