title : MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA.
kiungo : MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA.
MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA.
Mwambawahabari
PMO 2875 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Jukuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) jijini Dodoma, Julai 12, 2018. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Anilikisa Cheyo, na wapili kushoto ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa CCT, Askofu, Dkt. Jacob Chimeledya. (picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO 2843 Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCT jijini Dodoma Julai 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO 2813 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo wakati alipowasili kwenye ukumbi wa CCM jijini Dodoma kuhutubia Mkutano wa Halmashairi Kuu ya CCT Julai 12, 2018. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Anilikisa Cheyo na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Makamu wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo baada ya kuhutubia Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCT jijini Dodoma Julai 12, 2018. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Anilikisa Cheyo na wapili kulia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Jacob Chimeledya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hivyo makala MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA.
yaani makala yote MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/majaliwa-ahutubia-mkutano-wa.html
0 Response to "MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA."
Post a Comment