title : MAAFISA WA BUNGE WAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
kiungo : MAAFISA WA BUNGE WAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
MAAFISA WA BUNGE WAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
Afisa Habari wa Ofisi ya Bunge Ndg. Deonisius Simba akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam
Naibu Mpambe wa Bunge (DSA) Ndg Peter Magati akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam
Afisa Utumishi wa Ofisi ya Bunge Ndg. Twaha Said pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Kamati za Bunge Ndg. Athuman Hussein wakitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam
Mshauri wa mambo ya Sheria kutoka Ofisi ya Bunge Ndg. Mariam Mbaruku pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Habari Ofisi ya Bunge Ndg. Zuhura Mtatifikolo wakitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam
Hivyo makala MAAFISA WA BUNGE WAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
yaani makala yote MAAFISA WA BUNGE WAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MAONYESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAAFISA WA BUNGE WAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MAONYESHO YA SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/maafisa-wa-bunge-waendelea-kutoa-elimu.html
0 Response to "MAAFISA WA BUNGE WAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MAONYESHO YA SABASABA"
Post a Comment