title : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APOKELEWA RASMI LEO MAKAO MAKUU YA JESHI HILO
kiungo : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APOKELEWA RASMI LEO MAKAO MAKUU YA JESHI HILO
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APOKELEWA RASMI LEO MAKAO MAKUU YA JESHI HILO
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Phaustine Kasike akipokea saluti kutoka kwa Kamishna wa Utawala wa Magereza, Gaston Sanga mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ofisi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza jijini, Dar es Salaam, leo Julai 16, 2018.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akipokea salamu ya heshima kutoka kwa Gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake Makao Makuu ya Jeshi hilo.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akikagua gwaride maalum lililoandaliwa na Maofisa na askari wa Jeshi la Magereza.
Kamishna Jenerali mstaafu, Dkt. Juma Malewa(suti nyeusi) akimkaribisha Kamishna Jenerali mpya wa Magereza, Phaustine Kasike mara baada ya kumaliza kukagua gwaride rasmi lililoandaliwa na maofisa na askari wa Jeshi la Magereza.
Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APOKELEWA RASMI LEO MAKAO MAKUU YA JESHI HILO
yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APOKELEWA RASMI LEO MAKAO MAKUU YA JESHI HILO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APOKELEWA RASMI LEO MAKAO MAKUU YA JESHI HILO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/kamishna-jenerali-wa-magereza-apokelewa.html
0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APOKELEWA RASMI LEO MAKAO MAKUU YA JESHI HILO"
Post a Comment