title : KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA MITAMBO YA MKONGO WA TAIFA
kiungo : KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA MITAMBO YA MKONGO WA TAIFA
KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA MITAMBO YA MKONGO WA TAIFA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo (Wa tatu kulia), akiwaelekeza jambo baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu walipotembelea mitambo ya Mkongo wa Mawasiliano wa Taifa unaoendeshwa na TTCL Corporation.
Mtaalamu wa mitambo ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano inayosimamiwa na TTCL Corporation (kulia) akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu walipotembelea mitambo ya Mkongo wa Mawasiliano wa Taifa unaoendeshwa na TTCL Corporation.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba, akisisitiza jambo kwa wajumbe wa kamati hiyo ya Bunge.
Mkugenzi Mkuu wa TTCL Corporation, Bw. Waziri Kindamba (katikati) akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kutembelea mitambo ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano jijini Dar es Salaam inaoendeshwa na TTCL Corporation.
Hivyo makala KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA MITAMBO YA MKONGO WA TAIFA
yaani makala yote KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA MITAMBO YA MKONGO WA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA MITAMBO YA MKONGO WA TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/kamati-ya-bunge-ya-miundombinu.html
0 Response to "KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA MITAMBO YA MKONGO WA TAIFA"
Post a Comment