JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA BENKI YA CRDB KUENDELEA KUBORESHA MAHUSIANO

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA BENKI YA CRDB KUENDELEA KUBORESHA MAHUSIANO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA BENKI YA CRDB KUENDELEA KUBORESHA MAHUSIANO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA BENKI YA CRDB KUENDELEA KUBORESHA MAHUSIANO
kiungo : JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA BENKI YA CRDB KUENDELEA KUBORESHA MAHUSIANO

soma pia


JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA BENKI YA CRDB KUENDELEA KUBORESHA MAHUSIANO

 Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage, akizungumza wakati wa kikao na Uongozi wa Benki ya CRDB, walipotembelea Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es Salaam. (Wa kwanza kushoto) ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei.
 Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (wa kwanza kushoto) akizungumza na Kamishna wa Operesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage (wa kwanza kulia) pamoja na maafisa wa Jeshi hilo, mikakati ya kudumisha uhusiano baina ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Benki ya CRDB, wakati wa kikao na Uongozi wa Benki ya CRDB, walipotembelea Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es Salaam.
 Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Peter Mabusi, akifafanua jambo kwa Uongozi wa Benki ya CRDB, wakati wa kikao walipotembelea Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es Salaam. (Wa kwanza kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei na (wa kwanza kulia) ni Kamishna wa Operesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage.
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage (watano kulia),  akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (mwenyesuti nyeusi), Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji waliombatana na Kamishna wa Operesheni wa Jeshi hilo na Viongozi Waandamizi wa Benki ya CRDB, jijini Dar es Salaam.
habari na Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji


Hivyo makala JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA BENKI YA CRDB KUENDELEA KUBORESHA MAHUSIANO

yaani makala yote JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA BENKI YA CRDB KUENDELEA KUBORESHA MAHUSIANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA BENKI YA CRDB KUENDELEA KUBORESHA MAHUSIANO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/jeshi-la-zimamoto-na-uokoaji-na-benki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA BENKI YA CRDB KUENDELEA KUBORESHA MAHUSIANO"

Post a Comment