title : DKT. KIGWANGALLA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA KALAMBO, AMBAYO NI YA PILI KWA UREFU AFRIKA
kiungo : DKT. KIGWANGALLA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA KALAMBO, AMBAYO NI YA PILI KWA UREFU AFRIKA
DKT. KIGWANGALLA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA KALAMBO, AMBAYO NI YA PILI KWA UREFU AFRIKA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na viongozi wengine wa mkoa wa Rukwa wakifurahia kufika karibu na kina cha Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo yapo katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, maporomoko haya ni ya pili kwa urefu barani Afrika. Eneo hilo la kivutio linaendelea kuboreshwa kwa kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha watalii kufika hadi kwenye kina cha maporomoko hayo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla viongozi wengine wa mkoa wa Rukwa wakinawa mikono kwenye mto kalambo ambao unatengeneza Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo ni ya pili kwa urefu barani Afrika katika kijiji cha Kapozwa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kapozwa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa muda mfupi baada ya kutembelea Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo ni ya pili kwa urefu barani Afrika. Eneo hilo la kivutio linaendelea kuboreshwa kwa kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha watalii kufika hadi kwenye kina cha maporomoko hayo.
Muonekano mwanana wa Maporomoko ya Mto Kalambo.
Hivyo makala DKT. KIGWANGALLA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA KALAMBO, AMBAYO NI YA PILI KWA UREFU AFRIKA
yaani makala yote DKT. KIGWANGALLA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA KALAMBO, AMBAYO NI YA PILI KWA UREFU AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. KIGWANGALLA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA KALAMBO, AMBAYO NI YA PILI KWA UREFU AFRIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/dkt-kigwangalla-atembelea-maporomoko-ya.html
0 Response to "DKT. KIGWANGALLA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA KALAMBO, AMBAYO NI YA PILI KWA UREFU AFRIKA"
Post a Comment