title : BENKI YA CRDB TAWI LA OYSTERBAY WAWAKUTANISHA PAMOJA WATEJA WAKE WA AKAUNTI YA MALKIA
kiungo : BENKI YA CRDB TAWI LA OYSTERBAY WAWAKUTANISHA PAMOJA WATEJA WAKE WA AKAUNTI YA MALKIA
BENKI YA CRDB TAWI LA OYSTERBAY WAWAKUTANISHA PAMOJA WATEJA WAKE WA AKAUNTI YA MALKIA
Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga (wa tatu kushoto) akikata keki katika sherehe maalum kwa wateja wa Akaunti ya Malkia wa Benki hiyo tawi la Oysterbay, iliyofanyika mwishoni mwa wiki ikiwa na lengo la kuwakutatisha pamoja wateja wake. Kushoto ni Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, Juliana Mhimbira.
Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga akizungumza na baadhi ya wateja wa Akaunti ya Malkia waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki hiyo tawi la Oysterbay, ikiwa na lengo la kuwakutatisha pamoja wateja wake na kuzungumza nao. hafla hiyo ilimefanyika mwishoni mwa wiki, Masaki jijini Dar es salaam.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, Juliana Mhimbira akizungumza na baadhi ya wateja wa Akaunti ya Malkia waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki hiyo tawi la Oysterbay, ikiwa na lengo la kuwakutatisha pamoja wateja wake na kuzungumza nao. hafla hiyo ilimefanyika mwishoni mwa wiki, Masaki jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya GS1, Fatma Kange akizungumza jambo wakati akitoa maja ya ujasiriamali kwa wanawake ambao ni wateja wa Akaunti ya Malkia waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, ikiwa na lengo la kuwakutatisha pamoja wateja wake na kuzungumza nao. hafla hiyo ilimefanyika mwishoni mwa wiki, Masaki jijini Dar es salaam.
Sehemu ya wateja wa Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, wakiwa kwenye hafla hiyo.
Hivyo makala BENKI YA CRDB TAWI LA OYSTERBAY WAWAKUTANISHA PAMOJA WATEJA WAKE WA AKAUNTI YA MALKIA
yaani makala yote BENKI YA CRDB TAWI LA OYSTERBAY WAWAKUTANISHA PAMOJA WATEJA WAKE WA AKAUNTI YA MALKIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB TAWI LA OYSTERBAY WAWAKUTANISHA PAMOJA WATEJA WAKE WA AKAUNTI YA MALKIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/benki-ya-crdb-tawi-la-oysterbay.html
0 Response to "BENKI YA CRDB TAWI LA OYSTERBAY WAWAKUTANISHA PAMOJA WATEJA WAKE WA AKAUNTI YA MALKIA"
Post a Comment