Airtel yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure kupitia Airtel Money

Airtel yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure kupitia Airtel Money - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Airtel yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure kupitia Airtel Money, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Airtel yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure kupitia Airtel Money
kiungo : Airtel yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure kupitia Airtel Money

soma pia


Airtel yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure kupitia Airtel Money

Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kwa utoaji wa huduma bora za Smartphone Airtel Tanzania kupitia huduma yake ya Airtel Money leo imetangaza na kuzindua huduma mpya kwa wateja wote wanaotumia huduma ya kutuma na kupokea pesa kupitia Airtel Money kwa sasa wataweza kutuma na kupokea pesa bure bila ya makato yoyote.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam kwa niamba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Isack Nchunda alisema, “Tunayo furaha kubwa kuona ungezeko la watumiaji wa Airtel Money kila siku, tunaamini ya kuwa malengo ya serikali ya kuhakikisha inafanikisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa kila mwananchi linaelekea kupata mafanikio makubwa. Leo Airtel tunazindua huduma hii inayojulikana kama HAKATWI MTU HAPA – Tuma Pesa Bure ili kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali na kuwawezesha wateja wetu zaidi ya milioni 10 nchini kuweza kutuma na kupokea Pesa BURE”.

“Mwaka jana Airtel tulizindua huduma ya ya kutuma na kupokea pesa bure kwa wateja wa Airtel Money wanaotuma pesa kuanzia 200,000 na kuendelea. Tumezingatia tena uhitaji wa wateja wetu wengi hivyo kupitia HAKATWI MTU-Tuma Pesa Bure tunaamini wale wanaotuma pesa chini ya hapo wataweza kufurahia huduma hii ya Bure.

 Ni imani yetu kwamba huduma ya tuma na pokea pesa bure kupitia Airtel Money itakuwa ni chachu kwa wale ambao sio wateja wa Airtel Money kuanza kutumia huduma hii salama, rahisi na ya uhakika,  Tunategemea kuona wateja wakichangamkia  Fursa hii ya kutuma na kupokea pesa bila makato yoyote ili  kuokoa pesa  hadi Sh 5,000 kuanzia sasa”. alieleza Nchunda
Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda akiongea wakati wa kuzindua huduma inayojulikana kama HAKATWI MTU HAPA – Tuma Pesa Bure ambapo wateja wote wanaotumia huduma ya kutuma na kupokea pesa kupitia Airtel Money kwa sasa wataweza kutuma na kupokea pesa bure bila ya makato yoyote kwa kupinga *150*60# kisha changua tuma pesa bure.
Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano akiongea wakati wa kuzindua huduma inayojulikana kama HAKATWI MTU HAPA – Tuma Pesa Bure ambapo wateja wote wanaotumia huduma ya kutuma na kupokea pesa kupitia Airtel Money kwa sasa wataweza kutuma na kupokea pesa bure bila ya makato yoyote kwa kupinga *150*60# kisha changua tuma pesa bure.
Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda – kulia na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni wakionyesha bango baada kuzindua huduma inayojulikana kama HAKATWI MTU HAPA – Tuma Pesa Bure ambapo wateja wote wanaotumia huduma ya kutuma na kupokea pesa kupitia Airtel Money kwa sasa wataweza kutuma na kupokea pesa bure bila ya makato yoyote kwa kupinga *150*60# kisha changua tuma pesa bure.



Hivyo makala Airtel yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure kupitia Airtel Money

yaani makala yote Airtel yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure kupitia Airtel Money Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Airtel yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure kupitia Airtel Money mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/airtel-yazindua-hakatwi-mtu-hapa-tuma.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Airtel yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure kupitia Airtel Money"

Post a Comment