WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19

WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19
kiungo : WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19

soma pia

WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19

 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake, Bungeni Jijini Dodoma, ambapo ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19.

 Baadhi ya viongozi wa Waziri wa Fedha na Mipango, wakifuatilia Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo, ambapo Bunge limeombwa, kuiidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.  Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), na Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), wakifutilia kwa makini michango ya waheshimiwa wabunge walioanza kuchangia Bajeti ya Wizara hiyo, ambayo imeomba kudhinishiwa kiasi cha shilingi trilioni 12.058 kwa mwaka wa fedha 2018/19, Bungeni, Jijini Dodoma.

Hivyo makala WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19

yaani makala yote WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/wizara-ya-fedha-yaliomba-bunge-shilingi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19"

Post a Comment