title : Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yashiriki Maonyesho ya Wiki ya Mazingira
kiungo : Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yashiriki Maonyesho ya Wiki ya Mazingira
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yashiriki Maonyesho ya Wiki ya Mazingira
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafari wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila (kushoto) akimfafanulia mmoja wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam, aliyetembelea kwenye banda la Mamlaka hiyo juu ya mikakati ya usafiri wa anga kupunguza uchafuzi wa mazingira, wakati wa maonesho ya Wiki ya Mazingira yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, waliotembelea kwenye banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) wakimsikilza kwa makini afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila (katikati) wakati akiwafafanulia jambo juu ya mikakati ya usafiri wa anga kupunguza uchafuzi wa mazingira, wakati wa maonesho ya Wiki ya Mazingira yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mnazi Mmoja jijini Dar eS Salaam, waliotembelea katika banda la TCAA, wakimsikiliza kwa makini Mratibu wa mazingira wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) John Mfungo wakati akiwaelezea juu ya mikakati ya usafiri wa anga walivyojipanga kupunguza uchafuzi wa mazingira, wakati wa maonesho ya Wiki ya Mazingira yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yashiriki Maonyesho ya Wiki ya Mazingira
yaani makala yote Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yashiriki Maonyesho ya Wiki ya Mazingira Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yashiriki Maonyesho ya Wiki ya Mazingira mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mamlaka-ya-usafiri-wa-anga-tanzania.html
0 Response to "Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yashiriki Maonyesho ya Wiki ya Mazingira"
Post a Comment