WIFRED BONY AOMBA WARUHUSIWE KUPIGA PICHA KATIKA VIVUTIO ILI KUITANGAZA TANZANIA

WIFRED BONY AOMBA WARUHUSIWE KUPIGA PICHA KATIKA VIVUTIO ILI KUITANGAZA TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIFRED BONY AOMBA WARUHUSIWE KUPIGA PICHA KATIKA VIVUTIO ILI KUITANGAZA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIFRED BONY AOMBA WARUHUSIWE KUPIGA PICHA KATIKA VIVUTIO ILI KUITANGAZA TANZANIA
kiungo : WIFRED BONY AOMBA WARUHUSIWE KUPIGA PICHA KATIKA VIVUTIO ILI KUITANGAZA TANZANIA

soma pia


WIFRED BONY AOMBA WARUHUSIWE KUPIGA PICHA KATIKA VIVUTIO ILI KUITANGAZA TANZANIA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Baada ya kupata misukosuko akiwa nchini Tanzania Mshambuliaji wa Kimataifa wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast Wilfred Bony ameomba serikali ya Tanzania itoe fursa kwa wageni wanapofika nchini ili kuweza kutangaza vivutio vya Utalii duniani.

Bony aliyefika nchini takribani wiki moja iliyopita na kutembelea mbuga za wanyama Mikumi , kutoa  msaada kwenye vituo vya watoto yatima ikiwemo wale wanaosumbuliwa na ugonjwa wa upungufu wa damu (selimundu).

Akizungumza na Michuzi Media Bony amesema kuwa alipata msukosuko wa kushikiliwa na wanausalama akiwa katika pantoni Ferry baada ya kupiga picha ambapo kikawaida hairuhusiwi kufanya kitu hicho.

"Niliweza kuambiwa niwafuate baada ya mimi kupiga picha katika pantoni, sikuwa nafahamu kama siruhusiwi kupiga picha ila kwa upande wangu napenda kuwaomba serikali waruhusu watu hususani wageni wapige picha na kutangaza vivutio vilivyopo Tanzania,"amesema Bony.

"Nimepata changamoto nyingine nikiwa katika mbuga ya wanyama Mikumi nilikataliwa kupiga picha kabisa ila nipate fursa ya kutangaza vivutio hivyo na kama tukija watu wengi basi nchini itakuwa imetangazwa zaidi na watalii kuongezeka,"

Amesema kuwa, anatarajua kurudi tena nchini kwani ameamua kuja kuwekeza nchini kwenye michezo, burudani na kuendelea kutoa misaada kwa watoto yatima na wanaosumbuliwa na ugonjwa wa upungufu wa damu (selimundu).

Kwa upande wa mwenyeji wake Yasmine Razaq amesema kuwa anaomba serikali iweze kuondoa vikwazo mbalimbali kwa wageni ili waweze kutangaza utalii wetu duniani ikiwemo kupiga picha kwenye maeneo yanayoweza kuvutia watalii.

Mbali na hilo amepanga kuwaleta wachezaji wengine nchini kutoka Ligi Kuu ya Uingereza kwa ajili kusaidia uwekezaji wa michezo hususani watoto wadogo.
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na timu ya Swansea City ya Uingereza Wilfred Bony akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano wake uliofanyika leo akielezea madhumuni ya safari yake ya kuja Nchini Tanzania,kulia ni mwenyejiw wake Yasmine Razaq.


Hivyo makala WIFRED BONY AOMBA WARUHUSIWE KUPIGA PICHA KATIKA VIVUTIO ILI KUITANGAZA TANZANIA

yaani makala yote WIFRED BONY AOMBA WARUHUSIWE KUPIGA PICHA KATIKA VIVUTIO ILI KUITANGAZA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIFRED BONY AOMBA WARUHUSIWE KUPIGA PICHA KATIKA VIVUTIO ILI KUITANGAZA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/wifred-bony-aomba-waruhusiwe-kupiga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIFRED BONY AOMBA WARUHUSIWE KUPIGA PICHA KATIKA VIVUTIO ILI KUITANGAZA TANZANIA"

Post a Comment