Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo na Vya Kati Zanzibar (SMIDA)

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo na Vya Kati Zanzibar (SMIDA) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo na Vya Kati Zanzibar (SMIDA), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo na Vya Kati Zanzibar (SMIDA)
kiungo : Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo na Vya Kati Zanzibar (SMIDA)

soma pia


Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo na Vya Kati Zanzibar (SMIDA)


Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salum Ali amefanya uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogo Vidogo na vya Kati (SMIDA).
Walioteuliwa ni Dkt. Abdalla Rashid Abdalla kutoka Wizara ya Biashara na Viwanda, Nd. Bakari Ali Silima Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,  Nd. Ameir Haji Shehe kutoka Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto, Nd. Ahmed Yussuf kutoka Umoja wa Wazalishaji wadogo wadogo na Nd. Fatma Mbarouk Khamis kutoka Zanzibar.
Uteuzi huo unafuatia uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogo Vidogo na vya Kati uliofanywa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi hivi karibuni.
Waziri wa Biashara  na Viwanda amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu Nam. 11 (2) (d) na kifungu cha 11 (3) cha Sheria ya Wakala wa Maendeleo ya Viwanda Vidogo Vidogo na vya Kati Zanzibar Namba 2 ya mwaka 2018 na umeanza tarehe 20 mwezi huu.


Hivyo makala Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo na Vya Kati Zanzibar (SMIDA)

yaani makala yote Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo na Vya Kati Zanzibar (SMIDA) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo na Vya Kati Zanzibar (SMIDA) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/waziri-wa-biashara-na-viwanda-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo na Vya Kati Zanzibar (SMIDA)"

Post a Comment