title : TRA YAWAPIGA MSASA WATENDAJI WA HALMASHAURI NA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOANI NJOMBE
kiungo : TRA YAWAPIGA MSASA WATENDAJI WA HALMASHAURI NA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOANI NJOMBE
TRA YAWAPIGA MSASA WATENDAJI WA HALMASHAURI NA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOANI NJOMBE
Watendaji wa Halmashauri pamoja na wafanyabiashara wadogo wa Mkoa wa Njombe wameelimishwa juu ya urasimishaji wa wafanyabiashara hao ili waweze kutambulika rasmi na kuchangia pato la taifa ikiwa ni katika muendelezo wa Kampeni ya utoaji wa Huduma, Elimu na usajili wa walipakodi wapya.
Akizungumza wakati wa semina kwa watendaji na wafanyabiashara hao wilayani Njombe na Makambako, Mkuu wa Wilaya ya hiyo Bi. Ruth Msafiri amewataka wafanyabiashara hao kuchangia mapato ya Serikali kwa kulipa kiasi cha kodi watakachopangiwa ili kuweza kusaidia kuboresha miundombinu pamoja na huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo shule, huduma za afya, maji safi na salama, umeme pamoja na barabara.
“Tukumbuke kuwa, kila kitu tunachokifanya kinahitaji fedha kwa mfano kuwa na miundombinu na wataalam wa kutoa huduma za afya ni gharama, kuwa na shule pamoja na sehemu safi za kufanyia biashara ni gharama pia. Hivyo basi, kila mmoja achangie kwa kulipa kodi ili kuweza kuendeleza huduma hizi muhimu”. Alisema Ruth.
Aliongeza kuwa, katika kutafuta maendeleo kitu kikubwa ambacho kila mwananchi anatakiwa kuwa nacho ni uzalendo, utayari na kuelewa kwamba kila mmoja ana mchango wake katika maendeleo husika.
Hivyo makala TRA YAWAPIGA MSASA WATENDAJI WA HALMASHAURI NA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOANI NJOMBE
yaani makala yote TRA YAWAPIGA MSASA WATENDAJI WA HALMASHAURI NA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOANI NJOMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TRA YAWAPIGA MSASA WATENDAJI WA HALMASHAURI NA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOANI NJOMBE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/tra-yawapiga-msasa-watendaji-wa.html
0 Response to "TRA YAWAPIGA MSASA WATENDAJI WA HALMASHAURI NA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOANI NJOMBE"
Post a Comment