SPIKA NDUGAI AZINDUA SAFARI YA CHUO CHA IFM KUHAMIA JIJINI DODOMA

SPIKA NDUGAI AZINDUA SAFARI YA CHUO CHA IFM KUHAMIA JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AZINDUA SAFARI YA CHUO CHA IFM KUHAMIA JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AZINDUA SAFARI YA CHUO CHA IFM KUHAMIA JIJINI DODOMA
kiungo : SPIKA NDUGAI AZINDUA SAFARI YA CHUO CHA IFM KUHAMIA JIJINI DODOMA

soma pia


SPIKA NDUGAI AZINDUA SAFARI YA CHUO CHA IFM KUHAMIA JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Safari ya kuelekea Dodoma ya Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM)  pamoja na uzinduzi wa kozi Shahada ya Uzamili katika fani ya Fedha na Uwekezaji iliyoanza kutolewa na Chuo hicho Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizindua kitabu cha Kozi ya Shahada ya Uzamili katika fani ya Fedha na Uwekezaji inayoanza kutolewa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni  Mkuu wa Chuo hicho Profesa Thadeo Satta na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akionyesha kitabu cha Kozi ya Shahada ya Uzamili katika fani ya Fedha na Uwekezaji inayoanza kutolewa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Jijini Dodoma.kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji na Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara na Uwekezaji , Profesa Elisante Ole Gabriel. Wengine ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Thadeo Satta (kushoto kwa Mhe. Spika), Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha IFM, Profesa Lettice Kinunda na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe. Hafla hiyo imefanyika leo Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizindua ramani ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) inayotarajiwa kujengwa Jijini Dodoma.kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji. Wengine ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Thadeo Satta (kushoto kwa Mhe. Spika) na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akionyesha ramani ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) inayotarajiwa kujengwa Jijini Dodoma.kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji. Wengine ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Thadeo Satta (kushoto kwa Mhe. Spika) na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe.



Hivyo makala SPIKA NDUGAI AZINDUA SAFARI YA CHUO CHA IFM KUHAMIA JIJINI DODOMA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AZINDUA SAFARI YA CHUO CHA IFM KUHAMIA JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AZINDUA SAFARI YA CHUO CHA IFM KUHAMIA JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/spika-ndugai-azindua-safari-ya-chuo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDUGAI AZINDUA SAFARI YA CHUO CHA IFM KUHAMIA JIJINI DODOMA"

Post a Comment