SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI

SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI
kiungo : SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI

soma pia


SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI


Sehemu ya washiriki toka vyama vya wafanyakazi, asasi za kiraia makundi ya wanafunzi na vijana uliofanyika Tarehe 7 hadi 8 jijini Dar es Salaam wakifuatilia matukio wakati wa warsha iliyojadili maswala ya usawa katika ulipaji wa kodi na manufaa yake katika kuboresha huduma za umma. 
Mmoja wa washiriki akitoa mchango wake katika warsha iliyojadili maswala ya usawa katika ulipaji wa kodi na manufaa yake katika kuboresha huduma za umma.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), Rashid Mtima (wa tatu kulia) akiwaongoza wajumbe wa warsha ya siku mbili iliyojadili usawa katika ulipaji wa kodi na manufaa yake katika kuboresha huduma za umma wakiimba wimbo wa ‘Mshikamano Daima’ wakati wa ufungaji wa warsha hiyo jijini Dar es Salaam. Walipendekeza serikali kupitia upya misamaha na mikataba ya kodi, kuwepo uwazi wa umiliki na faida wanazopata makampuni mbalimbali kuongeza uwezo wa TRA ili ikusanye mapato na fedha zitakazowezesha kujenga miundombinu na kuboresha huduma kwa umma. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs).

HABARI ZAIDI SOMA HAPA


Hivyo makala SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI

yaani makala yote SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/serikali-yashauriwa-kukabiliana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI"

Post a Comment