SANGA APIGA MARUFUKU MALORI KUPITA KATIKA MIUNDOMBINU INAYOTENGENEZWA

SANGA APIGA MARUFUKU MALORI KUPITA KATIKA MIUNDOMBINU INAYOTENGENEZWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SANGA APIGA MARUFUKU MALORI KUPITA KATIKA MIUNDOMBINU INAYOTENGENEZWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SANGA APIGA MARUFUKU MALORI KUPITA KATIKA MIUNDOMBINU INAYOTENGENEZWA
kiungo : SANGA APIGA MARUFUKU MALORI KUPITA KATIKA MIUNDOMBINU INAYOTENGENEZWA

soma pia


SANGA APIGA MARUFUKU MALORI KUPITA KATIKA MIUNDOMBINU INAYOTENGENEZWA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii.
MKUU wa Wilaya ya Mkuranga Filberto Sanga amemshukuru Rais na viongozi wote ambao wanashiriki katika ujenzi wa taifa.

Pia amehaidi kutoa ushirikiano wakandarasi ili waweze kutekeleza miradi na amezuia malori kupita katika kijiji cha Kitoga kwa muda wa miezi miwili hadi ujenzi wa daraja hilo utakapokamilika. 

Akizungumza leo Sanga pia amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi Julai 12 kuupokea Mwenge wa uhuru ambao utafungua miradi mingi ya kimaendeleo.

Kwa upande wa Mbunge wa Mkuranga na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akiwa katika ziara yake katika jimbo la Mkuranga ameendelea kukagua ujenzi wa barabara katika kata za Tambani, Mipeko, Mkuranga, Kimanzichana, Mkamba na kata ya Kisegese.

Ulega ameeleza kuwa ziara hiyo imelenga kukagua ukarabati wa barabara mara baada ya mvua kunyesha, na amesema kuwa wamekagua katika kata mbalimbali na wameridhishwa na utendaji kazi unaofanywa na wakandarasi katika kutekeleza mradi huo kwani fedha iliyotolewa na kinachofanyika vinawiana.

Aidha Ulega amemshukuru Rais Magufuli kwa kuangalia mahitaji ya wananchi na kuyafanyia kazi na kuahidi kuwa kama wasaidizi wake watamuunga mkono katika kulipeleka taifa katika hali nzuri ya uchumi na kuhakikisha wananchi wanapata huduma zote muhimu.

Amewataka wananchi kutunza miundombinu hiyo ili kuwarahisishia shughuli mbalimbali na kuweza kudumu kwa matumizi ya kizazi kijacho.
Naibu Waziri wa Mifungo na Uvuvi na Mbunge wa Mkuranga ,Abdallah Ulega akishiriki unjenzi wa daraja katika kijiji cha Mipeko katika ziara ya kukangua mirandi mbalimbali.
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Filberto Sanga akishiliki ujenzi wa daraja katika kijiji cha Mipeko katika ziara ya kukangua mirandi mbalimbali iliyo fanyika leo mkoa wa Pwani.(Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
Naibu Waziri wa Mifungo na Uvuvi Abu na Mbunge wa Mkuranga,Abdallah Ulega akizungumza na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Mihekela alipo tembelea na kukangua barabara ya kijiji hicho na kumuomba meneja TARURA kujenga barabara hiyo Kwa kiwango ubora na na kuhakiksha sehemu korofi zinaimarika.



Hivyo makala SANGA APIGA MARUFUKU MALORI KUPITA KATIKA MIUNDOMBINU INAYOTENGENEZWA

yaani makala yote SANGA APIGA MARUFUKU MALORI KUPITA KATIKA MIUNDOMBINU INAYOTENGENEZWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SANGA APIGA MARUFUKU MALORI KUPITA KATIKA MIUNDOMBINU INAYOTENGENEZWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/sanga-apiga-marufuku-malori-kupita.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SANGA APIGA MARUFUKU MALORI KUPITA KATIKA MIUNDOMBINU INAYOTENGENEZWA"

Post a Comment