RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA

RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA
kiungo : RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA

soma pia


RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA

 Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza baada ya kumaliza Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu.
 Mmoja ya Wadau kutoka Tasisi ya K Innovates Nasra Kaseja akizungumzia umuhimu wa kuwasaidia watoto yatima wakati wa Iftar iliyoandaliwa na  Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu kata ya Msoga.
 Mshereshaji Masoud Kipanya akizungumza juu ya utaratibu na umuhimu wa kufutirisha makundi ya watu maalum katika kipindi hichi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.  
 Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akiwa ana swali kabla ya Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watoto yatima Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu.
 Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akipakuwa chakula wakati wa  Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu.
 Wadau wa Tasisi ya Ko Innoavate Pink Ijab wakiwa katika picha ya kabla ya Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Msoga
 Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete katikati  akiwa na Wadau waliotoa Vifaa kwa ajili ya Watoto Yatima wakati wa  Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Msoga
Baadi ya wadau waliofika  katika  Iftar   iliyofanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu.


Hivyo makala RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA

yaani makala yote RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/ridhiwani-apata-futari-na-vituo-vitano.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA"

Post a Comment