title : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA TTCL NCHI NZIMA, APOKEA GAWIO LAO LA BILIONI 1.5
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA TTCL NCHI NZIMA, APOKEA GAWIO LAO LA BILIONI 1.5
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA TTCL NCHI NZIMA, APOKEA GAWIO LAO LA BILIONI 1.5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu wakitumia mawasiliano ya Video Conference wakati baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akijiandaa kupokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu akipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za mawasiliano za kampuni ya TTCL nchi nzima baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA TTCL NCHI NZIMA, APOKEA GAWIO LAO LA BILIONI 1.5
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA TTCL NCHI NZIMA, APOKEA GAWIO LAO LA BILIONI 1.5 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA TTCL NCHI NZIMA, APOKEA GAWIO LAO LA BILIONI 1.5 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/rais-dkt-magufuli-azindua-upanuzi-wa_21.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA TTCL NCHI NZIMA, APOKEA GAWIO LAO LA BILIONI 1.5"
Post a Comment