PROFESA KAMUZORA AKAGUA UJENZI MRADI WA MAFNO ILmis MANISPAA YA KINONDONI

PROFESA KAMUZORA AKAGUA UJENZI MRADI WA MAFNO ILmis MANISPAA YA KINONDONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROFESA KAMUZORA AKAGUA UJENZI MRADI WA MAFNO ILmis MANISPAA YA KINONDONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROFESA KAMUZORA AKAGUA UJENZI MRADI WA MAFNO ILmis MANISPAA YA KINONDONI
kiungo : PROFESA KAMUZORA AKAGUA UJENZI MRADI WA MAFNO ILmis MANISPAA YA KINONDONI

soma pia


PROFESA KAMUZORA AKAGUA UJENZI MRADI WA MAFNO ILmis MANISPAA YA KINONDONI

 Katibu  Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora  akieleza jambo kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamini Sitta wakati wa ziara fupi ya  kukagua ujenzi wa chumba kitakachotumia Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za Ardhi (ILMIS)  katika Mradi wa Mfano Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati wa ziara fupi ya kukagua ujenzi wa chumba kitakachokuwa kinatoa huduma za Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za Ardhi (ILMIS)  katika Mradi wa Mfano Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora  akioneshwa namna jalada ambalo taarifa zake tayari zimeshafanyiwa kazi na mfumo huo linavyoonekana katika Mradi wa Mfano unaotekelezwa katika Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala PROFESA KAMUZORA AKAGUA UJENZI MRADI WA MAFNO ILmis MANISPAA YA KINONDONI

yaani makala yote PROFESA KAMUZORA AKAGUA UJENZI MRADI WA MAFNO ILmis MANISPAA YA KINONDONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROFESA KAMUZORA AKAGUA UJENZI MRADI WA MAFNO ILmis MANISPAA YA KINONDONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/profesa-kamuzora-akagua-ujenzi-mradi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PROFESA KAMUZORA AKAGUA UJENZI MRADI WA MAFNO ILmis MANISPAA YA KINONDONI"

Post a Comment