title : PRECISION AIR YANG’ARA MAONESHO YA KARIBU KILI FAIR MOSHI
kiungo : PRECISION AIR YANG’ARA MAONESHO YA KARIBU KILI FAIR MOSHI
PRECISION AIR YANG’ARA MAONESHO YA KARIBU KILI FAIR MOSHI
Waziri wa Mali Asili na Utalii Mh.Dkt.Hamisi Kigangwala akipokea maelezo kutoka kwa Meneja Masoko na Mawasiliano wa Precision Air Bw.Hillary Mremi , alipotembelea banda la Precision Air katika Maonyesho ya utalii Karibu/Kili Fair.
Meneja Mauzo wa Precision Air Kanda ya Kaskazini, Bi.Lydia Kibonde akitoa maelezo kwa mmoja ya wageni waliofika katika banda la Precision Air katika maonyesho ya Karibu/Kili Fair yaliyofanyika mjini Moshi
Wateja wa Precision Air wakipata huduma katika banda la Precision Air katika maonyesho ya utalii Karibu/Kili Fair
Timu ya Precision Air katika maonyesho ya utalii ya Karibu/Kili Fair Kushoto ni Meneja Mauzo kanda ya Kaskazini Bi.Lydia Kibonde, Katikati Meneja Masoko and Mawasiliano Bw.Hillary Mremi and Afisa Mauzo Bi. Monica Massawe.
Hivyo makala PRECISION AIR YANG’ARA MAONESHO YA KARIBU KILI FAIR MOSHI
yaani makala yote PRECISION AIR YANG’ARA MAONESHO YA KARIBU KILI FAIR MOSHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PRECISION AIR YANG’ARA MAONESHO YA KARIBU KILI FAIR MOSHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/precision-air-yangara-maonesho-ya.html
0 Response to "PRECISION AIR YANG’ARA MAONESHO YA KARIBU KILI FAIR MOSHI"
Post a Comment