title : Balozi Wilson M. Masilingi atembelea Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing, Seattle, Jimbo la Washington, Marekani.
kiungo : Balozi Wilson M. Masilingi atembelea Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing, Seattle, Jimbo la Washington, Marekani.
Balozi Wilson M. Masilingi atembelea Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing, Seattle, Jimbo la Washington, Marekani.
Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi akiwa na Bw. Kevin G. McAllister, Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing, Seattle, Jimbo la Washington, Marekani. Kampuni hiyo ya kutengeneza Ndege ya Boeing imedhamiria kuendelea kushirikiana na Tanzania kujenga Shirika la Ndege lenye Ndege za teknolojia ya kisasa
Kutoka kushoto ni Bw. Christopher M. Cook, Mkurugenzi wa Mauzo ya Kimataifa, (Business Director International Sales); Bw. Ihssane Mounir, Naibu Rais wa Mauzo (Senior Vice President Commercial Sales & Marketing); Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi; Bw. Kevin G. McAllister, Mkurugenzi Mwandamizi (President & CEO Boeing Commercial Airplanes) na Bw. Alfred Swere, Mwambata Fedha wa Ubalozi
Hivyo makala Balozi Wilson M. Masilingi atembelea Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing, Seattle, Jimbo la Washington, Marekani.
yaani makala yote Balozi Wilson M. Masilingi atembelea Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing, Seattle, Jimbo la Washington, Marekani. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Wilson M. Masilingi atembelea Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing, Seattle, Jimbo la Washington, Marekani. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/balozi-wilson-m-masilingi-atembelea.html
0 Response to "Balozi Wilson M. Masilingi atembelea Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing, Seattle, Jimbo la Washington, Marekani."
Post a Comment