PASS YATAMBULISHA FURSA MPYA YA MIKOPO KWA WADAU WA SEKTA YA KILIMO NCHINI. - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PASS YATAMBULISHA FURSA MPYA YA MIKOPO KWA WADAU WA SEKTA YA KILIMO NCHINI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
PASS YATAMBULISHA FURSA MPYA YA MIKOPO KWA WADAU WA SEKTA YA KILIMO NCHINI.kiungo :
PASS YATAMBULISHA FURSA MPYA YA MIKOPO KWA WADAU WA SEKTA YA KILIMO NCHINI.
PASS YATAMBULISHA FURSA MPYA YA MIKOPO KWA WADAU WA SEKTA YA KILIMO NCHINI.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Binafsi ya kusaidia sekta ya kilimo nchini (PASS) Bw,Nicomed Bohay akizungumza wakati wa kutambulisha fursa mpya kwa Wadau wa sekta ya Kilimo.
Baadhi ya Wadau wa Sekta ya Kilimo wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya PASS wakati wa utambulishaji wa fursa mpya kwa wadau wa sekta ya Kilimo.
Mwakilishi wa AATIF, Bwana Samuel Ndonga akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam .
Meneja uwekezaji Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Mfuko wa UGEAP,Sonja Riedke akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyoandaliwa na Taasisi ya PASS.
Balozi wa Denmark nchini Tanzania ,Einar Jensen akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Wadau wa sekt ya Kilimo wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa taasisi ya PASS ,AATIF pamoja na Balozi wa Denmark nchi Tanzania ,Einar Jensen.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Binafsi ya kusaidia sekta ya kilimo nchini (PASS) Bwana Nicomed Bohayakizungumza na Wanahabari muda mfupi baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii .
Taasisi ya kusaidia sekta binafsi ya kilimo nchini (PASS) imeingia makubaliano na Mfuko wa uwekezaji wa biashara na kilimo Afrika (AATIF) kusaidia wadau wa sekta ya Kilimo nchini kwa kutoa mikopo mikubwa itakayowezesha utekelezwaji wa miradi mikubwa ya kilimo.
Makubaliano haya baina ya PASS na AATIF yanatajwa kuwa mkombozi wa changamoto za muda mrefu za wadau wa sekta ya Kilimo ambao wamekuwa wakipitia kwa kushindwa kupata mikopo ya muda mrefu kutok
Hivyo makala PASS YATAMBULISHA FURSA MPYA YA MIKOPO KWA WADAU WA SEKTA YA KILIMO NCHINI.
yaani makala yote PASS YATAMBULISHA FURSA MPYA YA MIKOPO KWA WADAU WA SEKTA YA KILIMO NCHINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PASS YATAMBULISHA FURSA MPYA YA MIKOPO KWA WADAU WA SEKTA YA KILIMO NCHINI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/pass-yatambulisha-fursa-mpya-ya-mikopo.html
Related Posts :
MKUTANO WA TANO MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA DODOMA
Waziri Nchi,Ofisi yaMakamu wa Rais, Anayeshughulikia Mazingira na Muungano Mhe.January Makamba akizungumza katika mkutano wa Ma… Read More...
RIPOTI YA CAG PROFESA ASSAD YAANIKA MADUDU KILA KONA
*Abaini malipo hewa ya mabilioni ya fedha, mashirika mengine hoi kwa madeni
Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa … Read More...
Waziri Kabudi akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Prof. Palamagamba John Kabudi, akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo … Read More...
MAGAZETI YA LEO AL HAMISI APRIL 11,2019
… Read More...
WAZIRI MKUCHIKA AWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2019/20Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) amewasilisha Bungen… Read More...
0 Response to "PASS YATAMBULISHA FURSA MPYA YA MIKOPO KWA WADAU WA SEKTA YA KILIMO NCHINI."
Post a Comment