NHIF, HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA WAJADILIANA NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA KWA WANACHAMA

NHIF, HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA WAJADILIANA NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA KWA WANACHAMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NHIF, HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA WAJADILIANA NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA KWA WANACHAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NHIF, HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA WAJADILIANA NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA KWA WANACHAMA
kiungo : NHIF, HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA WAJADILIANA NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA KWA WANACHAMA

soma pia


NHIF, HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA WAJADILIANA NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA KWA WANACHAMA


Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

UONGOZI wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Bernard Konga umekutana na uongozi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kujadili namna ya kuboresha huduma kwa wanachama wakati wanapofika kupata huduma za matibabu hosptalini hapo.

Majadiliano ya huduma kati ya watoa huduma na Mfuko yamekuwa yakifanyika kwa lengo la kuimarisha upatikanaji wa huduma kwa wanachama wa Mfuko.

Akizungumza leo kwenye kikao hicho Mkurugenzi Mkuu wa NHIF  Konga amesema kuwa suala la huduma bora kwa wanachama ni kipaumbele cha Mfuko kwa kuwa wamelipia huduma hizo kabla ya kuugua.

"NHIF na watoa huduma lazima tuwe na lugha moja ya kuwapa huduma bora wanachama wetu na kama kuna tatizo linajitokeza tulishughulikie wenyewe na sio kuwahusisha wanachama wetu.

"Na kwa kufanya hivi mwanachama atapata huduma bila usumbufu wowote na itavutia wengine kujiunga na huduma zetu," amesema Magoha.
Uongozi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Bernard Konga umekutana na uongozi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kujadili namna ya kuboresha huduma kwa wanachama wakati wanapofika kupata huduma za matibabu hosptalini hapo.


Hivyo makala NHIF, HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA WAJADILIANA NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA KWA WANACHAMA

yaani makala yote NHIF, HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA WAJADILIANA NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA KWA WANACHAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NHIF, HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA WAJADILIANA NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA KWA WANACHAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/nhif-hospitali-ya-benjamin-mkapa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NHIF, HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA WAJADILIANA NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA KWA WANACHAMA"

Post a Comment