title : NEWZ ALERT:WAZIRI WA MAJI AMTUMBUA KAIMU AFISA MTENDAJI WA DAWASA NA BODI YA WAKURUGENZI
kiungo : NEWZ ALERT:WAZIRI WA MAJI AMTUMBUA KAIMU AFISA MTENDAJI WA DAWASA NA BODI YA WAKURUGENZI
NEWZ ALERT:WAZIRI WA MAJI AMTUMBUA KAIMU AFISA MTENDAJI WA DAWASA NA BODI YA WAKURUGENZI
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Eng. Isack Kamwelwe ametengua uteuzi wa aliyekuA kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Eng. Romanus Mwang'ingo na kuvunja bodi ya wakurugenzi wa DAWASA.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Eng. Kamwelwe amesema hatua hiyo imechukuliwa ili kupisha uchunguzi wa taarifa ya kuwepo kwa udanganyifu na ubadhirifu katika utekelezaji wa mradi wa kuchimba visima vya maji Kimbiji na Mpera huko Kigamboni jijini Dar es Salaam.
"Wakati jambo hilo linafanyiwa uchunguzi na TAKUKURU serikali imechukua hatua za kutengua uteuzi wa huyo Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Bodi yake kwa kushindwa kuchukua hatua stahiki ili kuunusuru mradi mapema," amesema Eng. Kamwelwe.
Taarifa hizi zinaonyesha pamoja na mambo mengine udanganyifu uliofanyika kuhusu idadi ya visima vilivyokamilika kama ambavyo zimewasilishwa wizarani na DAWASA na uhalisia katika eneo la utekelezaji wa mradi.
Aidha Waziri Eng. Kamwelwe amemteua Dkt. Sufian Masasi kukaimu nafasi hiyo mpaka utaratibu mwingine utakapokamilika.
Hivyo makala NEWZ ALERT:WAZIRI WA MAJI AMTUMBUA KAIMU AFISA MTENDAJI WA DAWASA NA BODI YA WAKURUGENZI
yaani makala yote NEWZ ALERT:WAZIRI WA MAJI AMTUMBUA KAIMU AFISA MTENDAJI WA DAWASA NA BODI YA WAKURUGENZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT:WAZIRI WA MAJI AMTUMBUA KAIMU AFISA MTENDAJI WA DAWASA NA BODI YA WAKURUGENZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/newz-alertwaziri-wa-maji-amtumbua-kaimu.html

0 Response to "NEWZ ALERT:WAZIRI WA MAJI AMTUMBUA KAIMU AFISA MTENDAJI WA DAWASA NA BODI YA WAKURUGENZI"
Post a Comment