title : NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA
kiungo : NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA
NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA
Pichani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, alipokwenda kuwajulia hali watoto hao wawili Mapacha walioungana Maria na Consolata ambao walikuwa wamelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kabla ya kuhamishiwa Hospitali ya Rufaa Mkoani Iringa
Watoto Maria na Consolata ambao ni mapacha walioungana wamefariki Dunia usiku huu katika hospitali ya Rufaa mkoani Iringa.Chanzo cha taarifa ya kufariki kwa watoto hao imetolewa usiku huu na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh.Richard Kasesela kupitia ukurasa wake wa Twitta kama unavyoonekana hapa chini.
TAARIFA ZAIDI TUTAWAJULISHA KADIRI YA ZIKAVYOKUWA ZIKIENDELEA KUPATIKANA.
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN
Hivyo makala NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA
yaani makala yote NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/newz-alert-watoto-mapacha-walioungana.html
0 Response to "NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA"
Post a Comment