DK.MWAKYEMBE AWEKA MIPANGO KUWASAIDA WASANII WA FILAMU TZ.

DK.MWAKYEMBE AWEKA MIPANGO KUWASAIDA WASANII WA FILAMU TZ. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.MWAKYEMBE AWEKA MIPANGO KUWASAIDA WASANII WA FILAMU TZ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.MWAKYEMBE AWEKA MIPANGO KUWASAIDA WASANII WA FILAMU TZ.
kiungo : DK.MWAKYEMBE AWEKA MIPANGO KUWASAIDA WASANII WA FILAMU TZ.

soma pia


DK.MWAKYEMBE AWEKA MIPANGO KUWASAIDA WASANII WA FILAMU TZ.


 MWAMBA WA HABARI
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM
Waziri  wa Habari, Sanaa, Utamaduni na  Michezo Dk. Herson Mwakyembe ameitaka  Bodi ya ushauri ya Bodi ya Filamu Tanzania kuwasaidia wasanii wa  filamu kwa kutoa ushauri wa kitaalamu hasa pale wanapotaka kuingia mikataba.

Akizungumza katika hafla ya Uzindua wa Bodi ya Ushauri ya bodi ya  Filamu Tanzanja jijini Dar es Salaam, Dk. Mwakyembe amesema kuwa mikataba mibovu ya wasanii wanayoingia imekuwa kikwazo katika kupiga hatua.

Amesema kuwa zipo changamoto nyingi katika tasnia ya Sanaa, hivyo anaamini kupitia bodi hiyo zitakwenda kupatiwa majibu katika kufanikisha Tanzania inakuwa na maendeleo.

"Naomba bodi ikafanye kazi ili kuwasaidia vijana wetu katika kuwashauri katika mambo mbalimbali ikiwemo kuhakikisha haki za wasanii zinapatikana" amesema Dk. Mwakyembe.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Bodi ya Filamu Tanzania, Prof. Frowin Nyoni amesema kuwa mipango ya bodi ni kutoa ushauri katika kufanikisha mikakati mbalimbali ambayo imekusudiwa kufanyika.

Amesema kuwa baada ya miaka mitatu katika utendaji wao watakuwa wamefanya kazi kubwa ya kuleta maendeleo chanya kwa wasanii wa filamu.

Prof Nyoni ameeleza kuwa watafanya kazi kwa ufanisi mkubwa, kwani wanatambua mchango wao katika kuleta maendeleo katika tasnia ya Filamu.

"Tutaangalia haki za wasanii ikiwemo mikataba mibovu, kupoteza kazi kwa kuibiwa pamoja na kutoa ushauri  rafiki katika kufanikisha maendeleo ya sanaa hapa nchini" amesema Prof Nyoni.

Bodi ya ushauri ya bodi ya Filamu Tanzania inaongozwa na Prof Frowin Nyoni huku Katibu ni Yoyce Fissoo.

Wanachama wengine katika bodi hiyo ni pamoja na Dk. Vicensia Shule, Bishop Hiluka, Anuciata Leoapald, Kenneth Kasigila, Raymond Kwahelera pamoja na Jennifer Mgendi.

Katika hatua nyengine wadau mbalimbali wa tasnia ya Filamu nchini wamepewa tuzo mbalimbali za heshima kutokana na michango yao katika sanaa ya Filamu.

Miongoni mwa wadau walipokea tuzo za heshima ni pamoja na Shirikisho ka Filamu Tanzania, Ushirika la Utangazaji TBC, Azam Media pamoja na IPP Media.


Hivyo makala DK.MWAKYEMBE AWEKA MIPANGO KUWASAIDA WASANII WA FILAMU TZ.

yaani makala yote DK.MWAKYEMBE AWEKA MIPANGO KUWASAIDA WASANII WA FILAMU TZ. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.MWAKYEMBE AWEKA MIPANGO KUWASAIDA WASANII WA FILAMU TZ. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/dkmwakyembe-aweka-mipango-kuwasaida.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DK.MWAKYEMBE AWEKA MIPANGO KUWASAIDA WASANII WA FILAMU TZ."

Post a Comment