NEWS ALERT: Mchezaji wa kimataifa wa IVORY COAST Wilfried Bony kuongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo

NEWS ALERT: Mchezaji wa kimataifa wa IVORY COAST Wilfried Bony kuongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWS ALERT: Mchezaji wa kimataifa wa IVORY COAST Wilfried Bony kuongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWS ALERT: Mchezaji wa kimataifa wa IVORY COAST Wilfried Bony kuongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo
kiungo : NEWS ALERT: Mchezaji wa kimataifa wa IVORY COAST Wilfried Bony kuongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo

soma pia


NEWS ALERT: Mchezaji wa kimataifa wa IVORY COAST Wilfried Bony kuongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo

 Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast na Westham ya Uingereza Wilfried Bony akiwa na watoto wenye mahitaji maalumu huko Kigamboni jijini Dar es salaam alipowatembelea Jumatatu na kuwapa misaada mbalimbali. Bony, ambaye amewahi kuchezea pia Swansea na Manchester City, yupo nchini kwa ziara binafsi na anatarajiwa kuondoka baadaye leo. Kwa mujibu wa msemaji wake, Bony ataongea na vyombo vya habari saa tano na nusu hoteli ya Protea Oysterbay jirani na kanisa la mtakatifu Peter.
 Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast na Westham ya Uingereza Wilfried Bony akiwa kwenye pantoni ya MV Magogoni akivuka kutoka kwenye kambi ya watoto wenye mahitaji maalumu huko Kigamboni jijini Dar es salaam alipowatembelea na kuwapa misaada mbalimbali.


Hivyo makala NEWS ALERT: Mchezaji wa kimataifa wa IVORY COAST Wilfried Bony kuongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo

yaani makala yote NEWS ALERT: Mchezaji wa kimataifa wa IVORY COAST Wilfried Bony kuongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: Mchezaji wa kimataifa wa IVORY COAST Wilfried Bony kuongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/news-alert-mchezaji-wa-kimataifa-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWS ALERT: Mchezaji wa kimataifa wa IVORY COAST Wilfried Bony kuongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo"

Post a Comment