Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg. Mpogoro Awatunuku Vyetu Wahitimu 281 Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu na Kuvuna Wanachama wa CHADEMA Mkoani Iringa.

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg. Mpogoro Awatunuku Vyetu Wahitimu 281 Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu na Kuvuna Wanachama wa CHADEMA Mkoani Iringa. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg. Mpogoro Awatunuku Vyetu Wahitimu 281 Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu na Kuvuna Wanachama wa CHADEMA Mkoani Iringa., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg. Mpogoro Awatunuku Vyetu Wahitimu 281 Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu na Kuvuna Wanachama wa CHADEMA Mkoani Iringa.
kiungo : Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg. Mpogoro Awatunuku Vyetu Wahitimu 281 Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu na Kuvuna Wanachama wa CHADEMA Mkoani Iringa.

soma pia


Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg. Mpogoro Awatunuku Vyetu Wahitimu 281 Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu na Kuvuna Wanachama wa CHADEMA Mkoani Iringa.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Rodrick Mpogoro akizungumza  katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo.
 Wahitimu wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa Wakiimba nyimbo Mbali mbali za Chama mara baada ya Mgeni rasmi kuzungungumza katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM (NEC) Bi Theresia Mtewele akiongoza meza kuu kuimba nyimbo Mbali mbali za Chama mara baada ya Mgeni rasmi kuzungungumza katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo.
Viongozi na wahitimu wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa wakiburudika kwa pamoja kwa nyimbo Mbali mbali za Chama mara baada ya Mgeni rasmikuzungungumza katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Mwl Raymond Mwangwala akizungumza na wahitimu wa Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapindui Mkoa wa Iringa Ndg.Albert Chalamila akizungumza na wahitimu wa Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo 
Naibu katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.Rodrick Mpogolo akimkabidhi cheti cha pongezi Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ndg.Kenani kiongosi katika sherehe ya Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo
 Naibu katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.Rodrick Mpogolo akitoa vyeti kwa wahitimu wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa katika sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Rodrick  Mpogolo akipokea baadhi ya bendera na jezi za chadema wakati akimkaribisha ndg Godfrey Maiko aliojiunga rasmi na CCM Leo  katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Rodrick  Mpogolo akimvisha kofia ya CCM ndg Godfrey Maiko aliojiunga rasmi na CCM Leo  katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Amina Masenza akipeana Mkono na Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Tumaini Ndg Damalo aliporejesha kadi ya Chadema na Kujiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi Leo katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Rodrick  Mpogoro akifurahi pamoja na Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Tumaini Ndg Damalo aliporejesha kadi ya Chadema na Kujiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi Leo katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Rodrick  Mpogoro akizungumza  mara baada ya kumpokea Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Tumaini Ndg Damalo aliporejesha kadi ya Chadema na Kujiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi Leo katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo kulia ni Katibu Mkuu wa UVCCM Mwl Raymond mwangwala.



Hivyo makala Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg. Mpogoro Awatunuku Vyetu Wahitimu 281 Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu na Kuvuna Wanachama wa CHADEMA Mkoani Iringa.

yaani makala yote Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg. Mpogoro Awatunuku Vyetu Wahitimu 281 Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu na Kuvuna Wanachama wa CHADEMA Mkoani Iringa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg. Mpogoro Awatunuku Vyetu Wahitimu 281 Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu na Kuvuna Wanachama wa CHADEMA Mkoani Iringa. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/naibu-katibu-mkuu-ccm-bara-ndg-mpogoro.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg. Mpogoro Awatunuku Vyetu Wahitimu 281 Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu na Kuvuna Wanachama wa CHADEMA Mkoani Iringa."

Post a Comment