MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA MILL 6 NA MIFUKO 100 YA SARUJI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA PAROKIA YA ROGORO MASANGA.

MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA MILL 6 NA MIFUKO 100 YA SARUJI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA PAROKIA YA ROGORO MASANGA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA MILL 6 NA MIFUKO 100 YA SARUJI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA PAROKIA YA ROGORO MASANGA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA MILL 6 NA MIFUKO 100 YA SARUJI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA PAROKIA YA ROGORO MASANGA.
kiungo : MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA MILL 6 NA MIFUKO 100 YA SARUJI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA PAROKIA YA ROGORO MASANGA.

soma pia


MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA MILL 6 NA MIFUKO 100 YA SARUJI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA PAROKIA YA ROGORO MASANGA.

Na Frankius Cleophace Tarime.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Tarime Mkoani Mara Marwa Daud Ngicho amechangia Kiasi Cha Shilingi Mill6 na Mifuko 100 ya Saruji kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Rogoro Masanga wilayani Tarime Mkoani Mara.

Ngicho amesema kuwa kama kiongozi ni wajibu wake wa kuchangia Ujuenzi wa Nyumba ya Bwana ili waumini wazidi kuombea Viongozi wanaotawala Nchi ya Tanzania na Ulimwengu akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pome Magufuli.

“Mimi kama kiongozi nimeambatana na Wafanyakazi wangu wa Mgodini kwa ajili ya kufanikisha zoezi zima naanza kuchangia Millioni Tano na Mifuko Miamoja hapa hapa naomba Waumini wote na Viongozi kuniunga Mkono ili kufanikisha Zoezi ili” alisema Ngicho.

Mwenyekiti ameongeza kuwa Jamii inayomwamini Mwenyezi Mungu haina budi kuondokana na kuamini Miungu badala ya Mungu huku akipiga vita Waganga wanapiga ramli Chonganishi na kusema kuwa wao kama Viongozi hawatawafumbia Macho kwani wanaweza Kuchocheanakusababisha Upotevu wa Amani.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Tarime Mkoani Mara Marwa Daud Ngicho akionyesha Kiasi ch Shilingi Millioni Sita Waumini wa kanisa la Rogoro katika harambee ya Ujenzi wa kanisa hilo la Romani Katoliki .
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Tarime Mkoani Mara Marwa Daud Ngicho akikabidhi Mwenyekiti wa Parokia ya Rogoro Masanga Sebastian Siyange Kiasi cha Shilingi Millioni Sita kwa ajili ya ujenzi wa kanisa hilo.
Waumini wa kanisa la Rogoro wakiwa katika Misa takatifu kabla ya harambee hiyo.
Kanisa Jipya la Parokia ya Rogoro Masanga Wilayani Tarime Mkoani Mara linalojengwa
Viongozi mbalimbali wakiwemo Waumini wa kanisa hilo wakikagua Ujenzi wa kanisa hilo.



Hivyo makala MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA MILL 6 NA MIFUKO 100 YA SARUJI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA PAROKIA YA ROGORO MASANGA.

yaani makala yote MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA MILL 6 NA MIFUKO 100 YA SARUJI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA PAROKIA YA ROGORO MASANGA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA MILL 6 NA MIFUKO 100 YA SARUJI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA PAROKIA YA ROGORO MASANGA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mwenyekiti-wa-ccm-tarime-achangia-mill.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA MILL 6 NA MIFUKO 100 YA SARUJI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA PAROKIA YA ROGORO MASANGA."

Post a Comment