title : Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Azungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar Apofika Kumuaka leo.
kiungo : Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Azungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar Apofika Kumuaka leo.
Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Azungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar Apofika Kumuaka leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Mwakilishi wa Shirika hilo Ofisi ya Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (kushoto) aliyefika kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la UNICEF anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (kushoto) aliyefika kumuaga Rais alipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa Kazi akifuatana na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman (katikati)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Mwakilishi wa Shirika hilo Ofisi ya Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (hayupo pichani) aliyefika kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman (katikati)alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Mwakilishi wa Shirika hilo Ofisi ya Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (kushoto) aliyefika kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi,[Picha na Ikulu.] 20/06/2018.
Hivyo makala Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Azungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar Apofika Kumuaka leo.
yaani makala yote Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Azungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar Apofika Kumuaka leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Azungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar Apofika Kumuaka leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mwakilishi-wa-unicef-tanzania-azungumza.html
0 Response to "Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Azungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar Apofika Kumuaka leo."
Post a Comment