MAMIA WAMLAKI KATIBU MKUU WA CCM ALIPOWASILI JIJINI DODOMA LEO

MAMIA WAMLAKI KATIBU MKUU WA CCM ALIPOWASILI JIJINI DODOMA LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMIA WAMLAKI KATIBU MKUU WA CCM ALIPOWASILI JIJINI DODOMA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMIA WAMLAKI KATIBU MKUU WA CCM ALIPOWASILI JIJINI DODOMA LEO
kiungo : MAMIA WAMLAKI KATIBU MKUU WA CCM ALIPOWASILI JIJINI DODOMA LEO

soma pia


MAMIA WAMLAKI KATIBU MKUU WA CCM ALIPOWASILI JIJINI DODOMA LEO


Mamia ya wananchi na wanachama wa CCM asubuhi ya leo wamemlaki Ndg. Bashiru Ally Kakurwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alipowasili kwa mara ya kwanza jijini humo kama Katibu Mkuu wa CCM na ikiwa ni kituo chake kikuu cha kazi.

Mamia ya wananchi na wana CCM walikusanyika katika uwanja wa ndege wa Dodoma na katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House).

Akizungumza na wananchi wa jiji la Dodoma waliofika kumlaki, wanachama wa CCM, viongozi wa CCM kutoka Mkoa wa Dodoma na watumishi wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Bashiru amesema amepewa dhamana kubwa na wana CCM, dhamana ya kusimamia Mageuzi Makubwa ambayo yanakirejesha Chama chetu kwa wanachama na katika misingi ambayo kwayo Chama Cha Mapinduzi kiliasisiwa.

Ndg. Bashiru amegusia kwa ufupi kazi kubwa iliyo mbele ya wana CCM kwa ujumla kuwa ni kuhakikisha kazi nzuri ya kuendelea kuhuisha uhai wa Chama Cha Mapinduzi katika ngazi ya Mashina, Matawi na Kata inaimarishwa maradufu, na kwamba uhai wa Chama uende sambamba na vikao vya Chama kukaa ili kuimarisha usimamizi wa rasilimali zetu za Chama kote nchini.

Aidha Ndg. Bashiru amezuangumzia hali ya maslahi ya watumishi wa Chama Cha Mapinduzi bado si ya kuridhisha, na akatumia fursa hiyo kuwapongeza watumishi wa CCM kwa moyo wao wa kujitolea, utii na nidhamu ya hali ya juu licha ya changamoto walizonazo.
“… nitafanya kazi kwa bidhii kuimarisha misingi ya Chama kujitegemea na tutaboresha maslahi ya watumishi, hiki ni kipaumbele namba moja na ndio Maelekezo na msimamo wa Ndg. John Pombe Joseph Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)” amesema Ndg. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM. 
 Mapokezi ya Ndg. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Ofisi ya Makao Makuu ya CCM 
 Ndg. Bashiru Ally Kakurwa akihutubia mamia ya wananchi walifika kumlaki katika Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma
Kutoka Kulia Ndg. Rodrick Mpogolo Naibu Katibu Mkuu (Bara), Ndg. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Mkanwa, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Ndg. Lubinga Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Ndg. Pereira Silima Katibu wa NEC Oganaizesheni.




Hivyo makala MAMIA WAMLAKI KATIBU MKUU WA CCM ALIPOWASILI JIJINI DODOMA LEO

yaani makala yote MAMIA WAMLAKI KATIBU MKUU WA CCM ALIPOWASILI JIJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMIA WAMLAKI KATIBU MKUU WA CCM ALIPOWASILI JIJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mamia-wamlaki-katibu-mkuu-wa-ccm.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAMIA WAMLAKI KATIBU MKUU WA CCM ALIPOWASILI JIJINI DODOMA LEO"

Post a Comment