Makamu wa Rais aelekea Mauritania kumuwakilisha Rais kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika

Makamu wa Rais aelekea Mauritania kumuwakilisha Rais kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais aelekea Mauritania kumuwakilisha Rais kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais aelekea Mauritania kumuwakilisha Rais kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika
kiungo : Makamu wa Rais aelekea Mauritania kumuwakilisha Rais kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika

soma pia


Makamu wa Rais aelekea Mauritania kumuwakilisha Rais kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anaondoka jioni ya leo kuelekea nchini Mauritania ambako atamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika .

Mkutano huo wa siku 2, utakaoanza tarehe 1-2 Julai 2018, utafanyika kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Nouakchott ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kuchaguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa AU. 
Kaulimbiu ya waka huu ni Kushinda Vita Dhidi ya Rushwa chini ya Uenyekiti wa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame.

Ujumbe wa Makamu wa Rais unajumuisha Mheshimiwa Dkt. Balozi Augustine Mahiga (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Afrika Mashariki.

Makamu wa Rais na ujumbe wake wanatarajia kurejea nchini Julai 5, mwaka huu.

Imetolewa na
Ofisi ya Makamu wa Rais
28 Juni, 2018


Hivyo makala Makamu wa Rais aelekea Mauritania kumuwakilisha Rais kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika

yaani makala yote Makamu wa Rais aelekea Mauritania kumuwakilisha Rais kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais aelekea Mauritania kumuwakilisha Rais kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/makamu-wa-rais-aelekea-mauritania.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais aelekea Mauritania kumuwakilisha Rais kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika"

Post a Comment