MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI

MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI
kiungo : MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI

soma pia


MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI

Afisa Uchunguzi Mwandamizi Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Ofisi ya Kanda Dodoma, Bibi Jasmin Awadh akiwasilisha Mada ya Mgongano wa Maslahi kwa Waheshimiwa Madiwani naWakuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri za Jiji la Dodoma wakati wa Mafunzo ya Maadili kwa Viongozi wa Umma wanawake yalifanyika ukumbi wa VETA Dodoma juni 5, 2018.
Waheshimiwa Madiwani na Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri za Jiji la Dodoma wakifuatilia kwa makini Mada ya Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma iliyokuwa ikitolewa na mkufunzi wakati wa Mafunzo ya Maadili kwa Viongozi wa Umma wanawake yalifanyika ukumbi wa VETA Dodoma juni 5, 2018.
Wanahabari kutoa TBC1, Star TV, Redio A FM na Global TV wakifanya mahojiano na Mhe. Asia Halamgha ambaye ni diwani Viti Maalum Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa katika mafunzo ya Maadili kwa Viongozi wa Umma wanawake yalifanyika ukumbi wa VETA Dodoma juni 5, 2018.


Hivyo makala MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI

yaani makala yote MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/madiwani-na-wakuu-wa-idara-na-vitengo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI"

Post a Comment