KOMBE LA DUNIA LEO SAANNE USIKU CROATIA Vs NIGERIA HAPATOSHI.

KOMBE LA DUNIA LEO SAANNE USIKU CROATIA Vs NIGERIA HAPATOSHI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOMBE LA DUNIA LEO SAANNE USIKU CROATIA Vs NIGERIA HAPATOSHI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOMBE LA DUNIA LEO SAANNE USIKU CROATIA Vs NIGERIA HAPATOSHI.
kiungo : KOMBE LA DUNIA LEO SAANNE USIKU CROATIA Vs NIGERIA HAPATOSHI.

soma pia


KOMBE LA DUNIA LEO SAANNE USIKU CROATIA Vs NIGERIA HAPATOSHI.



 Mwamba wa habari
Leo jumamosi tunaangalia tena mchezo wa kundi D kati ya Croatia na Nigeria, mchezo ambao utachezwa majira ya saa 4:00 usiku kwa saa za afrika mashariki.
Taarifa kutoka timu zote

Kwa upande wa Croatia, hawana majeruhi na wanategemea kutaja mastaa wote wakiwemo Luca modric,Ivan Rakitic,Vedran Corluka na Mario Mandzukic.
Mshambuliaji wa Croatia Nikola Kalinic amesema, Kitu muhimu sasa ni pointi zote tatu.Tuna ubora kwenye kushambulia, hatuwezi kuogopa, kitu cha muhimu ni kwamba, tunacheza vizuri na kutengeneza nafasi kwa washambuliaji wetu.
 
Nigeria: Mlinzi wa Nigeria, Leon Balogun, anaweza kukosa mechi baada ya kukosa mazoezi yaliyofanyika Alhamis, na Kenneth Omeruo anasubiri mchezaji Wilfred Ndidi ili aweze kuchukua nafasi yake, pamoja na kwamba alikuwa ana majeraha,Odion Ighalo anaweza kuiongoza safu ya ushambuliaji, akishirikiana na Khelechi Ihenacho.

Kocha wa Nigeria Gemot Rohr anasema, Timu tunayo kwa muda mrefu, tulikuwa nayo pia kwenye mechi za kufuzu, Nina uhakika tutawafanya Wanaigeria wafurahi.Tuna team ya vijana wadogo, labda hili kombe la dunia ni la mapema mno kwao.Tuna kikosi cha wachezaji wadogo, hivyo 2022 ndo litakuwa kombe lao la dunia.Tunataka kuwafanya watu wa Nigeria wafurah lakin sio matokeo tu, ni tabia na jinsi tunavyocheza mpira, unaweza kuleta thaman kwa hii nchi kubwa.

Croatia na Nigeria ndo mara ya kwanza kukutana, na Croatia wana rekodi mzuri kwa team za Afrika.
Vikosi vinavyotarajia kuanza

Croatia: Subasic,Vida,Corluka,Lovren,Strinic, Badejil,Rakitic,Modric,Rabec,Mandzukic,Perisic
Nigeria
Ozoho,Omeruo,Troots- Ekong,Ogushehu,Iwobi,Mikel,Ndidi,Idowu,Mozes, Ighalo


Hivyo makala KOMBE LA DUNIA LEO SAANNE USIKU CROATIA Vs NIGERIA HAPATOSHI.

yaani makala yote KOMBE LA DUNIA LEO SAANNE USIKU CROATIA Vs NIGERIA HAPATOSHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOMBE LA DUNIA LEO SAANNE USIKU CROATIA Vs NIGERIA HAPATOSHI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/kombe-la-dunia-leo-saanne-usiku-croatia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KOMBE LA DUNIA LEO SAANNE USIKU CROATIA Vs NIGERIA HAPATOSHI."

Post a Comment