title : GERALD MWANILWA AIBUKA MSHINDI KAMPENI YA BENKI YA CRDB YA SHUHUDIA KOMBE LA DUNIA LA FIFA 2018 NA TEMBOCARDVISA
kiungo : GERALD MWANILWA AIBUKA MSHINDI KAMPENI YA BENKI YA CRDB YA SHUHUDIA KOMBE LA DUNIA LA FIFA 2018 NA TEMBOCARDVISA
GERALD MWANILWA AIBUKA MSHINDI KAMPENI YA BENKI YA CRDB YA SHUHUDIA KOMBE LA DUNIA LA FIFA 2018 NA TEMBOCARDVISA
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto), akimkabidhi mshindi wa Kampeni ya Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCardVisa, Gerlad Mwanilwa, Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi tiketi yake mshindi wa Kampeni ya Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCardVisa Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mshindi wa wiki ya sita, Gerald Mwanilwa.
Mshindi wa wiki ya sita wa Kampeni ya Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa na TemboCardVisa, Gerald Mwanilwa, akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tiketi ya kushuhudia Fainali za Kombe la Dunia la Fifa 2018.
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kulia), akifafanua jambo kuhusu utaratibu wa kusafiri mshindi wa wiki ya sita wa Kampeni ya Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa na TemboCardVisa, Gerald Mwanilwa (kushoto).
Hivyo makala GERALD MWANILWA AIBUKA MSHINDI KAMPENI YA BENKI YA CRDB YA SHUHUDIA KOMBE LA DUNIA LA FIFA 2018 NA TEMBOCARDVISA
yaani makala yote GERALD MWANILWA AIBUKA MSHINDI KAMPENI YA BENKI YA CRDB YA SHUHUDIA KOMBE LA DUNIA LA FIFA 2018 NA TEMBOCARDVISA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala GERALD MWANILWA AIBUKA MSHINDI KAMPENI YA BENKI YA CRDB YA SHUHUDIA KOMBE LA DUNIA LA FIFA 2018 NA TEMBOCARDVISA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/gerald-mwanilwa-aibuka-mshindi-kampeni.html
0 Response to "GERALD MWANILWA AIBUKA MSHINDI KAMPENI YA BENKI YA CRDB YA SHUHUDIA KOMBE LA DUNIA LA FIFA 2018 NA TEMBOCARDVISA"
Post a Comment