YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
kiungo : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

soma pia


YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha thelathini na nne cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akitolea ufafanuzi kuhusu hitaji la magari katika vituo vya polisi  leo Jijini Dodoma.
 Wabunge wa Viti Maalum Mhe.Munira Mustafa Khatib na Mhe.Halima Abdallah Bulembo wakifurahia jambo wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso akieleza mipango mbalimbali ya wizara yake katika kutatua changamoto za miradi ya maji wakati wa kikao cha thelathini na nne cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
 Mbunge wa Lupa Mhe.Victor Mwambalaswa akiuliza swali wakati wa kikao cha thelathini na nne cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dkt.Hamisi Kigwangalla akiteta jambo na Naibu Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Mhe.William Ole Nasha wakati wa  kikao cha thelathini na nne cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk Augustine Mahiga akizungumza jambo na  Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Hamisi Kigwangalla na Naibu wake Mhe.Japhet Hasunga  wakati wa  kikao cha thelathini na nne cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.



Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/yaliyojiri-leo-bungeni-jijini-dodoma_22.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA"

Post a Comment