title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
kiungo : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
Mwenyekiti wa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma.
Mbunge wa Mtera Mhe.Livingstone Lusinde akiuliza swali wakati wa kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Japhet Asunga akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Stanslaus Nyongo ,Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt Mary Mwanjelwa wakati wa kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma.
Mbunge wa Vunjo Mhe.James Mbatia akifurahia jambo na wabunge wenzie wakati wa kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma.
Mbunge wa Kwimba Mhe.Mansoor Hirani akizungumza jambo na Manaibu Waziri wa TAMISEMI Mhe.Josephat Kandege na Joseph Kakunda wakati wa kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO
Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/yaliyojiri-leo-bungeni-jijini-dodoma_11.html
0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA"
Post a Comment