WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA
kiungo : WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA

soma pia


WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza wakati wa uzinduzi wa mdahalo wa kitaifa wa kujadili ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda uliofanyika leo Jijini Dodoma.Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Tasisi ya Uongozi Prof Joseph Semboja,Nlanla Gumede kutoka Afrika Kusini na Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi kiuchumi Bi.Beng’i Issa.
  Afisa Mtendaji Mkuu wa Tasisi ya Uongozi  Prof Joseph Semboja akizungumza kabla ya kukaribisha mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa mdahalo wa kitaifa wa kujadili ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda uliofanyika leo Jijini Dodoma..Kulia kwake, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama Nlanla Gumede kutoka Afrika Kusini na Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi kiuchumi Bi.Beng’i Issa.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo  na Afisa Mtendaji Mkuu wa Tasisi ya Uongozi  Prof Joseph Semboja wakati wa uzinduzi wa mdahalo wa kitaifa wa kujadili ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda uliofanyika leo Jijini  Dodoma.
 Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji  wananchi kiuchumi Bi.Beng’i Issa Akizungumzia umuhimu wa mkakati wa ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda uliofanyika leo Jijini Dodoma.
Wadau wa mdahalo wa kitaifa wa kujadili ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda wakisikiliza hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama wakati akizindua mdahalo huo leo Jijini Dodoma.

Picha zote na Daudi Manongi,Dodoma.


Hivyo makala WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA

yaani makala yote WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/waziri-jenista-mhagama-azindua-mdahalo_24.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA"

Post a Comment