title : WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC
kiungo : WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC
WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC
Mabalozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Yohana Lambo Mayenga pamoja na Suzane William Mollel wamekutana na Wafunzi wa Chuo Kikuu Zanzibar (SUZA) kilichopo Tunguu, Ujunga visiwani Zanzibar, kwa lengo la kutoa mafunzo na kuwahamasisha Wanafunzi wa vyuo vikuu (Vijana) nchini kote, kuufahamu umuhimu wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na kuuimarisha katika Mchakato wa Jumuiya hiyo Kikanda, katika Warsha ya siku moja iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu hizo, Mei 21, 2018. Jumla ya Wanafunzi 410 walihudhulia Warsha hiyo.
Mwakilishi wa Chuo Kikuu Zanzibar (SUZA), Saleh Mohammed akizungumza machache wakati akifungua warsha ya siku moja ya mafunzo na kuwahamasisha Wanafunzi wa vyuo vikuu (Vijana) nchini kote, kuufahamu umuhimu wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na kuuimarisha katika Mchakato wa Jumuiya hiyo Kikanda, katika Warsha ya siku moja iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu hizo, Mei 21, 2018.
Muwakilishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Kiongozi wa Mabalozi vijana EAC, Barbara Kaboha akizungumza wakati ufunguzi wa warsha ya siku moja ya mafunzo na kuwahamasisha Wanafunzi wa vyuo vikuu (Vijana) nchini kote, kuufahamu umuhimu wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na kuuimarisha katika Mchakato wa Jumuiya hiyo Kikanda, katika Warsha ya siku moja iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu hizo, Mei 21, 2018.
Naibu balozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel akitoa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Zanzibar (SUZA), na kuwahamasisha kuufahamu umuhimu wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na kuuimarisha katika Mchakato wa Jumuiya hiyo Kikanda, katika Warsha ya siku moja iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu hizo, Mei 21, 2018.
Balozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Yohana Lambo Mayenga (aliyesimama) akitoa mafunzo kwa baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Zanzibar.
Hivyo makala WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC
yaani makala yote WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/wanafunzi-wa-chuo-kukuu-zanzibar-wapewa.html
0 Response to "WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC"
Post a Comment