title :
kiungo :
Wakunga, wauguziwazurukituo cha watotoyatima
BARAZA la WakunganaWauguzilimefanyaziara yakwendakuwatembeleawatotoyati mawanaolelewakatikakituo cha Mazizinikujuamaendeleoyaokiafy apamojanakuwapahudumambalimbal i.
Aidha, katikaziarahiyo, wauguziwaliwapimaafya, uzitoilikufahamukamawanakabili wanamaradhimbalimbali, pamojanakutoatiba.
Akizungumzawakatiwaziarahiyo, Mwenyekitiwabarazahilo Valeria Rashid Haroub, alisemaziarahiyonimiongonimwas hughulimbalimbalizinazofanyika kuelekeasikuyawakungaduniani, ambayoitafikiakilele Mei 5, 2018.
Alisemawatotoniviumbewanaohita jihudumanauangaliziwamarakwama railikutambuaafyazao, akielezakuwa, hatuayakuwapimamaradhiikiwemok isukarinakujuaviwangovyaovyada mu, inarahisishakuwaanzishatibamap emakablahalizaohazijawambaya.
“Mtotonitegemeo la jamiikwasikuzabaadae. Anahitajihudumazotemuhimuikiwe momalazi,elimu, afyanalishe bora kamayalivyomalengoyaserikali,” alisemaMwenyekitihuyo.
NaeMsaidizimrajisBaraza la wauguzi Rajab KhamisRajab alisemawatotonimuhimuhivyowana hitajikupewahudumazotezajamii.
Akizungumziamaadhimishoyasikuy aWakunganaWauguzi, Valeria alisemabarazahilolimepangakufa nyashughulimbalimbaliikiwemoku tembeleamaskulinikwaajiliyakut oaelimukwawanafunzijuuyakujiki nganamaradhitafautihasayamripu kokatikakipindihichi cha mvua.
Aidha, alisemawamejipangakutoaelimuya uzaziwampangokatikavituombalim balimijininavijijininakuwashaj iishaakinamamakujifunguliahosp italiilikupunguzamatatizoyanay owezakujitokezawakatiwakujifun gua.
“ Serikaliimewekavituovyaafyavin avyotoahudumaza mama namtotokilasehemuilikuwarahisi shiauzazisalama,” alisema Valeria.
Alizitajamiongonimwahospitaliz itakazotolewahudumahizopamojan aelimukuwaniMakunduchioMkoawaK usininaKivungeMkoawaKaskaziniU nguja.
Hatahivyo, aliwatalawakunganawauguziwasik aevituonikusubiriwananchiwanao fuatahuduma, baliwapitenyumbakwanyumbakutoa elimuyaafya, uzaziwampangopamojanamaradhime ngine.
Katikaziarahiyo, wakunganawauguzihaowalitoazawa dikadhaazakwawatoto, ikiwemobiskuti, maziwa, madaftarinanyenginezo.
“ Kaulimbiuyamwakahuuniwakungahu ongezanjiakatikautoajiwahuduma bora.”
Hivyo makala
yaani makala yote
Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/wakunga-wauguziwazurukituo-cha.html
0 Response to " "
Post a Comment